Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Kwani wapinzani wana kura za pamoja useme zinagawanyika? Huyo Membe yeye hana wapiga kura huko ccm, bali anafuata hizo hizo za wapinzani tu? Sasa kama yeye hana kura za watu wa ccm, anakuja upinzani kuongeza nini?
mkuu adui wa wapinzani ni mmoja tu ambaye ni CCM. sasa ujue wapinzani wanavyokuwa wengi kupambana na adui mmoja aliyejizatiti na huku wapinzani wamegawana magobore badala ya kutumia makombora machache ambayo CCM wanayo unadhani game itakuwa rahisi?
 
Viongozi walio wengi wana ulaku wa madaraka, linapokuja suala la Taifa, viongozi wanaweka matumbo yao mbele kuliko wanawaambia raia zao, Nguvu moja ndio msingi, Lakini itachukua karne kwa sababu hawa viongozi ni viongozi waliozinduka kukiwa tayari kumekucha, Hivyo kupambana na CCM hakuwezi kutokea kwa namna hii ambayo viongozi wanavyotaka kila mtu awe rais, Inawezekana Upinzani ukachukua viti nusu ya Bunge na hivyo kuwa na Bunge ambalo litataitegemea kambi ya upinzani kufanya maamuzi yake

Siamini unachoamini kutokana na uhalisia ulivyo. Kuungana labda waungane ili kupigania tume huru ya uchaguzi, ama waungane baada ya kuitoa ccm ili kuwa na nguvu bungeni na sio kabla ya hapo. 2015 kulikuwa na muungano, leo hii NCCR na CUF wako wapi? Hivi vyama vinasimamia itikadi na matarajio tofauti, kuvitaka kuungana ni kukaribisha matatizo kwao, kuliko kila kimoja kikiishambulia ccm kivyake.
 
Karibia 85% ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni mawakala wa ccm, hivyo kwenye hilo sioni umuhimu wa muungano
Siamini unachoamini kutokana na uhalisia ulivyo. Kuungana labda waungane ili kupigania tume huru ya uchaguzi, ama waungane baada ya kuitoa ccm ili kuwa na nguvu bungeni na sio kabla ya hapo. 2015 kulikuwa na muungano, leo hii NCCR na CUF wako wapi? Hivi vyama vinasimamia itikadi na matarajio tofauti, kuvitaka kuungana ni kukaribisha matatizo kwao, kuliko kila kimoja kikiishambulia ccm kivyake.
 
Viongozi walio wengi wana ulaku wa madaraka, linapokuja suala la Taifa, viongozi wanaweka matumbo yao mbele kuliko wanawaambia raia zao, Nguvu moja ndio msingi, Lakini itachukua karne kwa sababu hawa viongozi ni viongozi waliozinduka kukiwa tayari kumekucha, Hivyo kupambana na CCM hakuwezi kutokea kwa namna hii ambayo viongozi wanavyotaka kila mtu awe rais, Inawezekana Upinzani ukachukua viti nusu ya Bunge na hivyo kuwa na Bunge ambalo litataitegemea kambi ya upinzani kufanya maamuzi yake
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
 
Huo ndiyo ukweli hata hao chama tawala nia yao waendelee kupata mkate wao wa kila siku
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dola
 
BM ni bora ailinde, Heshima yake kwa Taifa kuliko anakoelekea kisiasa maana kushinda hawezi kushinda, Ila Act watapata nguvu katika uchaguzi kutokana na haiba ya Kiongozi huyu mahiri katika diplomasia.
Ksma hawezi kushinda anatafuata nini?
Anatakiwa aleta wanachama wa CCM na wapenzi wake upinzani.Aivuruge CCM hadi isambaratike ,iwe vipande vipande,kabla ya October. Na hiyo ndio kazi ya Spymaster si vinginevyo.
Kama hawezi hilo basi ataleta uchuro katika upinzani bora abaki neutral.
 
Back
Top Bottom