Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Zito anataka kufanya usengelema kama ule aliofanya mbowe mwaka 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zito anataka kufanya usengelema kama ule aliofanya mbowe mwaka 2015.
Yale Yale ya Lowasa
mkuu adui wa wapinzani ni mmoja tu ambaye ni CCM. sasa ujue wapinzani wanavyokuwa wengi kupambana na adui mmoja aliyejizatiti na huku wapinzani wamegawana magobore badala ya kutumia makombora machache ambayo CCM wanayo unadhani game itakuwa rahisi?Kwani wapinzani wana kura za pamoja useme zinagawanyika? Huyo Membe yeye hana wapiga kura huko ccm, bali anafuata hizo hizo za wapinzani tu? Sasa kama yeye hana kura za watu wa ccm, anakuja upinzani kuongeza nini?
Ina maana wapinzani hawana president materials hadi waokoteze makapi na skrepa kutoka ccmLeo tarehe 12 July Membe ameonekana akiwa na baadhi ya viongozi wa ACT hii inaonyesha sasa ni rasmi Membe
atagombea kupitia chama hicho tusubiri taarifa zaidi.View attachment 1504646
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu adui wa wapinzani ni mmoja tu ambaye ni CCM. sasa ujue wapinzani wanavyokuwa wengi kupambana na adui mmoja aliyejizatiti na huku wapinzani wamegawana magobore badala ya kutumia makombora machache ambayo CCM wanayo unadhani game itakuwa rahisi?
mkuu adui wa wapinzani ni mmoja tu ambaye ni CCM. sasa ujue wapinzani wanavyokuwa wengi kupambana na adui mmoja aliyejizatiti na huku wapinzani wamegawana magobore badala ya kutumia makombora machache ambayo CCM wanayo unadhani game itakuwa rahisi?
Nakuhakikishia hawezi kufanikiwa Membe kwa Magufuli ni mwepesi sanaHapana, safari hii ni tofauti sana. Lowasa alijitosa akijua anashinda urais wakati Membe kapania kuwaumiza ccm kwa kusaidia kuwatemesha serikali ya Zanzibar.
Siamini unachoamini kutokana na uhalisia ulivyo. Kuungana labda waungane ili kupigania tume huru ya uchaguzi, ama waungane baada ya kuitoa ccm ili kuwa na nguvu bungeni na sio kabla ya hapo. 2015 kulikuwa na muungano, leo hii NCCR na CUF wako wapi? Hivi vyama vinasimamia itikadi na matarajio tofauti, kuvitaka kuungana ni kukaribisha matatizo kwao, kuliko kila kimoja kikiishambulia ccm kivyake.
Ubinafsi unaturudisha nyuma, hata Mbowe alimkodishia Lowasa ile nafasi ili apate ruzuku ya kutosha.Zitto anachojali ni kuongeza wabunge hivyo kutanua wigo wa ruzuku hana nia thabiti ya kuuimarisha upinzani
Nimekupata vyema kiongozi, kwa kifupi kila chama kinatetea maslahi yake binafsi na siyo kutwaa dolaViongozi walio wengi wana ulaku wa madaraka, linapokuja suala la Taifa, viongozi wanaweka matumbo yao mbele kuliko wanawaambia raia zao, Nguvu moja ndio msingi, Lakini itachukua karne kwa sababu hawa viongozi ni viongozi waliozinduka kukiwa tayari kumekucha, Hivyo kupambana na CCM hakuwezi kutokea kwa namna hii ambayo viongozi wanavyotaka kila mtu awe rais, Inawezekana Upinzani ukachukua viti nusu ya Bunge na hivyo kuwa na Bunge ambalo litataitegemea kambi ya upinzani kufanya maamuzi yake
Ksma hawezi kushinda anatafuata nini?BM ni bora ailinde, Heshima yake kwa Taifa kuliko anakoelekea kisiasa maana kushinda hawezi kushinda, Ila Act watapata nguvu katika uchaguzi kutokana na haiba ya Kiongozi huyu mahiri katika diplomasia.
Wakati TUNDU Lisu anapiga mayowe mitandaoni cheki Nyalandu
View attachment 1504703