Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Maelezo gazeti ya kipashukuna kisa uoga wa wapinzani, wacheni kuogopa upinzani shindaneni sawa na waamuzi wawe wananchi wapiga kura.

Kwa taarifa yako cdm tutamsimamisha mh Lissu hakuna cha ccm kutia mkono wala miguu.

Cdm ndiyo chama cha kweli cha upinzani wa kweli ambacho kimedhamilia kuitoa ccm madarakani.
Mkuu, nyuma ya pazia ni kwamba, CCM tayari wamefanya Yao, Kwanza, Act na Chadema ni lazima wataingia kwenye sintofahamu ya Nani Kati ya Membe ama Lisu awe mpeperusha Bendera Kwa sbb Membe ameingia upinzani Kwa lengo moja tu la kugombea Uraisi basi

Kwanza ijulikane, Tundu Lisu akikatwa ni lazima naye ataingia mgogoro na viongozi wake wa Chadema hii ni lazima na hatakuwa yeye Tu, bali Hadi wanachama wengine na Baadhi ya viongozi hapo hawataelewana

Pili, huku nako Membe na zito malengo yao yanaweza kutofautisna kimtazamo Kwa kila mmoja, Membe yeye akiamini kuwa ataweza kumshinda Magufuli, lakini Kwa Zitto yeye Hana Imani hiyo ya Membe kumshinda Magufuli ispokuwa Yeye anaangalia mtaji wa Chama chake kupitia membe kwamba, Chama chake kinaweza kupata wabunge wengi bara Kwa mgongo wa Membe na si kushinda uraisi, na mtazamo huo ndio utakaoleta shida kwenye kuunganisha vyama, Zitto naye siasa zake siku zote ni za kilaghai

Kwa hiyo huenda kila Chama kikaamua kupeperusha bendera ya Uraisi na hapa ndipo utakapoelewa kwamba, CCM Kwa siasa zake ziko juu kuliko hao wapinzani, kwamba hawaoni mitego hii ya CCM

Kwani mwaka huu wameamua kumtumia Membe ili kuivuruga zaidi Chadema hasa Lisu
 
Hii dhana ya chama fulani ndiyo kina haki zaidi ni dhani potofu sana,mwenye dhana awe CCM au Upinzani ni dhana mfu. Kila chama kimeanzishwa ili kushika Dola.
 
Kumbe ndio maana Zitto alikuwa anampigia debe Membe, hata kama hajajiunga rasmi, lakini hizi ni dalili atajiunga.

Endapo patakuwa na muungano kati ya Chadema na ACT, ni vyema umakini wa hali ya juu uwepo kwenye kumsimamisha mgombea Urais, hasa upande wa Tanzania Bara.

Yaliyotokea 2015 yanatosha, hakuna haja ya kudanganyika tena na wahamiaji, ni wakati sasa wa upinzani kumsimamisha mgombea wao, watu wenye sifa wapo.

Binafsi sikufurahi kabisa EL kuingia CHADEMA na hasa kuwa mgombea urais. Kwa mtazamo wangu, it was tragic. Itakuwa ni ovyo zaidi wakikubaliana na Membe. Hawa ni sehemu rasmi ya mfumo wa ufisadi ndani ya CCM.

LAKINI, lazima tuuone ukweli kwamba sio EL aliyesababisha CHADEMA “kushindwa uchaguzi” au “kushindwa kuingia Ikulu”. Kwanza, tunajua uchaguzi ulivyoendeshwa ndivyo sivyo kiasi cha hesabu halisi ya kura za kila mgombea kubakia suala la mjadala hadi leo hii. Kumbuka chama tawala tangu 1995 kimejiapiza kutoshindwa kwa njia ya kura (vikaratasi). Kilichotokea 2010 kwa Dr. Slaa kinajulikana. 2015 CHADEMA wakadanganyika kwamba EL ana mbinu za kuzuia “wizi” unaofanywa na chama dola na kuhakikisha ushindi unasomeka kama ulivyo. Ilikuwa aina ya utapeli. Nafikiri alijua kabisa hamna kitu zaidi ya kufaidi jukwaa la umaarufu alilopewa na maadui zake (upinzani).

Kama ni hasara waliyopata CHADEMA 2015, ni kupoteza kete ya uadilifu (moral high ground) waliyoijenga na kudumu nayo muda mrefu ingawa walipata ushindi mkubwa. Mwaka huu, 2020 hali ya CHADEMA ni hopeless zaidi SI kwa sababu chama sio imara wala mgombea ni nani. BALI ni kwa vile dola ya safari hii imedhamiria kabisa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha waziwazi bila soni wala haya kiasi cha kuwatangazia kabisa kuwa itaamua nani anapata nini kwenye uchaguzi. Halafu, kama kawaida, Watanzania hawana interest na haki zao za msingi zaidi kutafuta riziki. Kama vile hawaelewi au kuamini kuwa CHADEMA inawapigania wapate maisha bora.
 
Mtoa hoja picha ni picha tu, usipanic mapema.
 
Huo ndiyo ukweli mkuu hayo mengine ni danganya toto tu
Hii dhana ya chama fulani ndiyo kina haki zaidi ni dhani potofu sana,mwenye dhana awe CCM au Upinzani ni dhana mfu. Kila chama kimeanzishwa ili kushika Dola.
 
Maelezo gazeti ya kipashukuna kisa uoga wa wapinzani, wacheni kuogopa upinzani shindaneni sawa na waamuzi wawe wananchi wapiga kura.

Kwa taarifa yako cdm tutamsimamisha mh Lissu hakuna cha ccm kutia mkono wala miguu.

Cdm ndiyo chama cha kweli cha upinzani wa kweli ambacho kimedhamilia kuitoa ccm madarakani.
Kaka Mmawia, Sawa nimekuelewa na hakuna anayekataa kwamba, mwenye Nia na mshindani wa dhati ni Chadema, lakini hiyo mitego ya CCM mtaivukaje?

Membe na Act wao piga ua wanaamini wao ndio wanamgombea mzuri, Chadema nao wanaamini kwamba wao ndio wenye mgombea Bora, hapo tu kama vyama vinavyotaka kuungana mtatokaje?

Na Zitto yeye alichokubali kumchukua Membe ni Kwa malengo yote mawili lakini moja ndio kubwa zaidi la yeye apate mtaji wa wabunge wengi na hiyo ndio tamaa Sana ya Zitto kiasi ambacho hakitamfanya akubali kirahisi mgombea wa Uraisi atoke kwingine na ndio ushindi rahisi Sana Kwa CCM endapo mtashindwa kuungana
 
Binafsi sikufurahi kabisa EL kuingia CHADEMA na hasa kuwa mgombea urais. Kwa mtazamo wangu, it was tragic. Itakuwa ni ovyo zaidi wakikubaliana na Membe. Hawa ni sehemu rasmi ya mfumo wa ufisadi ndani ya CCM.

LAKINI, lazima tuuone ukweli kwamba sio EL aliyesababisha CHADEMA “kushindwa uchaguzi” au “kushindwa kuingia Ikulu”. Kwanza, tunajua uchaguzi ulivyoendeshwa ndivyo sivyo kiasi cha hesabu halisi ya kura za kila mgombea kubakia suala la mjadala hadi leo hii. Kumbuka chama tawala tangu 1995 kimejiapiza kutoshindwa kwa njia ya kura (vikaratasi). Kilichotokea 2010 kwa Dr. Slaa kinajulikana. 2015 CHADEMA wakadanganyika kwamba EL ana mbinu za kuzuia “wizi” unaofanywa na chama dola na kuhakikisha ushindi unasomeka kama ulivyo. Ilikuwa aina ya utapeli. Nafikiri alijua kabisa hamna kitu zaidi ya kufaidi jukwaa la umaarufu alilopewa na maadui zake (upinzani).

Kama ni hasara waliyopata CHADEMA 2015, ni kupoteza kete ya uadilifu (moral high ground) waliyoijenga na kudumu nayo muda mrefu ingawa walipata ushindi mkubwa. Mwaka huu, 2020 hali ya CHADEMA ni hopeless zaidi SI kwa sababu chama sio imara wala mgombea ni nani. BALI ni kwa vile dola ya safari hii imedhamiria kabisa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha waziwazi bila soni wala haya kiasi cha kuwatangazia kabisa kuwa itaamua nani anapata nini kwenye uchaguzi. Halafu, kama kawaida, Watanzania hawana interest na haki zao za msingi zaidi kutafuta riziki. Kama vile hawaelewi au kuamini kuwa CHADEMA inawapigania wapate maisha bora.
Umeongea maneno yenye busara sana kwa watanzania.
 
Kaka Mmawia, Sawa nimekuelewa na hakuna anayekataa kwamba, mwenye Nia na mshindani wa dhati ni Chadema, lakini hiyo mitego ya CCM mtaivukaje?

Membe na Act wao piga ua wanaamini wao ndio wanamgombea mzuri, Chadema nao wanaamini kwamba wao ndio wenye mgombea Bora, hapo tu kama vyama vinavyotaka kuungana mtatokaje?

Na Zitto yeye alichokubali kumchukua Membe ni Kwa malengo yote mawili lakini moja ndio kubwa zaidi la yeye apate mtaji wa wabunge wengi na hiyo ndio tamaa Sana ya Zitto kiasi ambacho hakitamfanya akubali kirahisi mgombea wa Uraisi atoke kwingine na ndio ushindi rahisi Sana Kwa CCM endapo mtashindwa kuungana
Nimekuelewa sana, ila kwa sasa cdm haina haja ya kuungana na ACT kisa yupo Membe maana ACT yenyewe haina wapiga kura.

Cdm tayari ina wapiga kura wake ambao siyo rahisi wadanganywe.

Ninacho kuona hapa ni kuwa Membe atakuwa msaada mkubwa sana kwa mzee wetu Seif Ahmad Sharif maana Zanzibar tayari anakubalika.
 
Shida kubwa ya Membe hana kundi linalomuunga mkono ambalo limeshiba kimfumo kama alivyokuwa Lowassa. Membe hakufanikiwa kutengeneza mtandao hivyo sidhani kama ni mtu sahihi kugombea upinzani.

Mbaya zaidi kwa hiyo ACT anaweza hata kushindwa kuchukua jimbo la Mtama!
 
Mkuu, nyuma ya pazia ni kwamba, CCM tayari wamefanya Yao, Kwanza, Act na Chadema ni lazima wataingia kwenye sintofahamu ya Nani Kati ya Membe ama Lisu awe mpeperusha Bendera Kwa sbb Membe ameingia upinzani Kwa lengo moja tu la kugombea Uraisi basi

Kwanza ijulikane, Tundu Lisu akikatwa ni lazima naye ataingia mgogoro na viongozi wake wa Chadema hii ni lazima na hatakuwa yeye Tu, bali Hadi wanachama wengine na Baadhi ya viongozi hapo hawataelewana

Pili, huku nako Membe na zito malengo yao yanaweza kutofautisna kimtazamo Kwa kila mmoja, Membe yeye akiamini kuwa ataweza kumshinda Magufuli, lakini Kwa Zitto yeye Hana Imani hiyo ya Membe kumshinda Magufuli ispokuwa Yeye anaangalia mtaji wa Chama chake kupitia membe kwamba, Chama chake kinaweza kupata wabunge wengi bara Kwa mgongo wa Membe na si kushinda uraisi, na mtazamo huo ndio utakaoleta shida kwenye kuunganisha vyama, Zitto naye siasa zake siku zote ni za kilaghai

Kwa hiyo huenda kila Chama kikaamua kupeperusha bendera ya Uraisi na hapa ndipo utakapoelewa kwamba, CCM Kwa siasa zake ziko juu kuliko hao wapinzani, kwamba hawaoni mitego hii ya CCM

Kwani mwaka huu wameamua kumtumia Membe ili kuivuruga zaidi Chadema hasa Lisu

Haya uliyooandika ndio matamanio yako. Maoni yetu wafuasi wa upinzani yako wazi na msimamo wetu ni bayana. Lisu ndio mgombea wetu. Cdm kama chama wanaweza kumchagua yoyote wamtakaye ila chaguo letu liko wazi ni Lisu. ACT wanaweza kuweka mgombea wao yoyote wamtakaye hiyo ni juu yao.

Hao ccm unaowasifia hawana mbinu yoyote ya maana, bali wanategmea zaidi madaraka ya mwenyekiti wao kwa kofia ya urais kutangazwa washindi. Usitake kuwapamba kuwa wanambinu za maana wakati tunaona kabisa mbinu chafu, ushenzi na uhayawani wa wazi ili watangazwe washindi. Na nguvu zote za kuchezea uchaguzi ili watangazwe washindi, ni kupitia madaraka ya urais yanayotumika vibaya.
 
Ndiyo maana cdm haina shida ya kuipigia magoti ACT ili wafanye muungano kisa ujio wa Membe ndani ya ACT.

Cdm tuna wapiga kura wetu wa muda woote na wengine wapya
Shida kubwa ya Membe hana kundi linalomuunga mkono ambalo limeshiba kimfumo kama alivyokuwa Lowassa. Membe hakufanikiwa kutengeneza mtandao hivyo sidhani kama ni mtu sahihi kugombea upinzani.

Mbaya zaidi kwa hiyo ACT anaweza hata kushindwa kuchukua jimbo la Mtama!
 
Full stop [emoji732] umemaliza kazi yoote
Haya uliyooandika ndio matamanio yako. Maoni yetu wafuasi wa upinzani yako wazi na msimamo wetu ni bayana. Lisu ndio mgombea wetu. Cdm kama chama wanaweza kumchagua yoyote wamtakaye ila chaguo letu liko wazi ni Lisu. ACT wanaweza kuweka mgombea wao yoyote wamtakaye hiyo ni juu yao.

Hao ccm unaowasifia hawana mbinu yoyote ya maana, bali wanategmea zaidi madaraka ya mwenyekiti wao kwa kofia ya urais kutangazwa washindi. Usitake kuwapamba kuwa wanambinu za maana wakati tunaona kabisa mbinu chafu, ushenzi na uhayawani wa wazi ili watangazwe washindi. Na nguvu zote za kuchezea uchaguzi ili watangazwe washindi, ni kupitia madaraka ya urais yanayotumika vibaya.
 
Kaka Mmawia, Sawa nimekuelewa na hakuna anayekataa kwamba, mwenye Nia na mshindani wa dhati ni Chadema, lakini hiyo mitego ya CCM mtaivukaje?

Membe na Act wao piga ua wanaamini wao ndio wanamgombea mzuri, Chadema nao wanaamini kwamba wao ndio wenye mgombea Bora, hapo tu kama vyama vinavyotaka kuungana mtatokaje?

Na Zitto yeye alichokubali kumchukua Membe ni Kwa malengo yote mawili lakini moja ndio kubwa zaidi la yeye apate mtaji wa wabunge wengi na hiyo ndio tamaa Sana ya Zitto kiasi ambacho hakitamfanya akubali kirahisi mgombea wa Uraisi atoke kwingine na ndio ushindi rahisi Sana Kwa CCM endapo mtashindwa kuungana

Siyo tamaa bali ameanzisha chama ili kikue na atamae kishike Dola. Kama Membe anakiongezea nguvu chama chake au anaweza kukiwezesha kushika Dola kwanini hamuache?
 
Woote wanaokota makapi ya wenzao maana ccm ndiyo wanao ongoza kuokota makapi.

1:Nasari

2:Waitara

3:Mwambe

4:Lijualikali

5:......
Uliowataja hawakufukuzwa bali walijitoa CHADEMA, huyu Membe kafukuzwa na hilo inajulikana wazi kabisa kuwa alifukuzwa miezi kama minne iliyopita. Upinzani unaotaka kuongozwa kwa kivuli cha CCM hauna maana kabisa. Mwaka 2015 walifanya hivyo, na sasa 2020 wanaelekea kufanya hivyo tena. Hali to tofauti sana na mwaka 2010 ambapo upizani ulikuwa pure kabisa, ila tu haukutaka kuungana; laiti wangeungana mwaka 2010 huenda sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo tofauti kabisa.

Fupa lililomshinda Lowassa ambaye alikuwa ameshika wenyeviti wa CCM wa mikoa ya nchi nzima sidhani kama Membe ataliweza kwa maneno tu kuwa anaungwa mkono na "vigogo watano"; hizo ni mbio za sakafuni tu.

Nimefuatilia Membe kwa muda sasa, ninaona kama ana mfadhaiko fulani kiakili kwa kukosa madaraka. Panga la CCM la mwaka 2015 hakulipokea kwa mikono miwili; hali ni tofauti kabisa na Kikwete ambaye baada ya kufekwa mwaka 1995 alitulia na na kuendelea kujenga influence akisubiri miaka kumi iliyofuata. Membe angetulia na kuendelea kujenga influence na hata kumsaidia Magufuli mawazo ya maana, angejijengea influence nzuri ya kuweza kujaribu tena 2025 ingawa umri ungekuwa umeshamtupa. Ana umri wa miaka 66 sasa, yaani zaidi ya umri ambao Nyerere alistaafu nao, na sawa kabisa na wa Mkapa wakati wa kustaafu; kwa hiyo mwaka 2025 atakuwa ni mzee kuliko marais wote waliopita wakati wanastaafu naye; kwani Mwinyi alistaafu na miaka 70, na wakati huo 2025 Membe atakauwa na miaka 71.
 
Sasa hapa umeandika nini mbona haueleweki kitu gani unakisimamia haswa?

Huu ni mtazamo wako tu, kama jina lako lilivyo.

Yaani Chadema Tanzania Bara wawapigie magoti ACT?!

Chadema wana wapiga kura, halafu wawaombe ACT kitu gani?! kuachiwa jimbo ndio nini!.

Go back to the drawing board, and stop this nonsense please.
Wakati mnanyukana kwa matusi na kebehi. Ccm imeshashinda urais. Na nyie mnatafuta mgombea wa kutoa aibu.
 
Sasa hapa umeandika nini mbona haueleweki kitu gani unakisimamia haswa?
Pole kama hukuelewa; lugha rahisi ni kwamba upizani usitegemee kushinda kwa kumtumia Membe anayekuja na hasira za visasi kutoka CCM bila sera zozote. Inabidi wachague mmoja wa wanachama wao anayejua vyama vyao kwa muda mrefu ndiye apewe bendera kama ilivyokuwa mwaka 2010; na ikiwezekana waungane safari hii.

Msaada ulioletwa na Lowasa mwaka 2015 haupo tena kwani hakuna hata mwenyekiti mmoja wa CCM atakayemfuata Membe na kuja na wafuasi wake kama ilivyokuwa kwa Lowassa. Membe ni frustrations tu zinazomsumbua, lakini hana potential ya kushinda kama ilivyokuwa kwa Lowassa. Upinzani wowote kushinda lazima waimege CCM huko vijijini, bila kuimega CCM usindi kwa upinzani ni ndoto tu. Lowassa alimega kidogo kutoka CCM lakini haikutosha.
 
Back
Top Bottom