Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Zito anawavuruga sana, na badoKumbe inawauma sana kuwaona cdm wanazidi kushine? Wakati nyie mnazidi kusinyaa kwa masizi?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zito anawavuruga sana, na badoKumbe inawauma sana kuwaona cdm wanazidi kushine? Wakati nyie mnazidi kusinyaa kwa masizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Si vizuri kudanganya nafsi yako mwenyeweHuyo ndiyo rais wako ajaye baada ya octoberView attachment 1505124
Sema wewe sasa maana unaona kama vile Pompeo ndio atasababisha chadema ishinde kwa kumzuia Makonda asiende USAJiulize wewe sasa au umerukia treni kwa mbele?
Pompeo asipomtolea ban Makonda ya kuingia USA ndio chadema itashinda oktoba?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hahahha. Subiri Pompeo aje ampigie kura na kumtangaza LisuWatoto wa kutengeneza mtawapata wapi?
Hawa ndugu mbona hawajavaa viatu jee walikuwa ICU au mchezo gani huu. Hawa jamaa wameshajiandaa na ugombea mwenza wanadhani Membe atamwaga fedha kama Lowasa, Membe ni bahili fedha yake haitoki mpaka kwa koleo. Hapa kuna hesabu za Alinacha Membe atapita urai bara na Maalim Unguja haya tusubiri OctoberMuda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
View attachment 1504761View attachment 1504762View attachment 1504763View attachment 1504764
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali
Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana
Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
BM anataka kugombea yeye, Act hawajali sana kuhusu kushinda sababu hawana cha kupoteza , Bado chama ni kichangaZitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
Tundu anajulikana wanaharakati tu2010 Slaa alikuwa na hela gani? Lissu hahitaji kuzunguka nchi nzima kama issue ni kuzunguka nchi nzima. Hoja za Lissu zinaweza kuzunguka nchi nzima, bila hata yeye kuzungusha sura yake. Ingekuwa kuzunguka nchi nzima kunaleta mvuto, basi mwenge wa uhuru ungepata mvuto maana unazunguka nchi nzima. Lissu ndio sahihi against Magufuli, na ukweli huu tunaujua na hatutoki kwenye hilo.
Zitto anaizika ChademaHuna unalojua wewe
Tundu anajulikana wanaharakati tu
Kwani 2015 kulitokea nini?Kumbe ndio maana Zitto alikuwa anampigia debe Membe, hata kama hajajiunga rasmi, lakini hizi ni dalili atajiunga.
Endapo patakuwa na muungano kati ya Chadema na ACT, ni vyema umakini wa hali ya juu uwepo kwenye kumsimamisha mgombea Urais, hasa upande wa Tanzania Bara.
Yaliyotokea 2015 yanatosha, hakuna haja ya kudanganyika tena na wahamiaji, ni wakati sasa wa upinzani kumsimamisha mgombea wao, watu wenye sifa wapo.
Hili hawataki kuliamini lakini ukweli utajulikana baada ya uchaguzi. Natabiri chama kikuu cha upinzani kinakwenda kua ACT. Mbatia aungane na Act.Zitto anaizika Chadema