Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Kwa upande wa Urais wapinzani wanajidanganya tu, huu ndo ukweli mchungu
 
Naona walikuwa wanaweka mikakayi ya kuifumua yanga.

Hatimaye yakatimia kwa yanga kupigwa 4G
 
Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.

Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.

View attachment 1504761View attachment 1504762View attachment 1504763View attachment 1504764
Hawa ndugu mbona hawajavaa viatu jee walikuwa ICU au mchezo gani huu. Hawa jamaa wameshajiandaa na ugombea mwenza wanadhani Membe atamwaga fedha kama Lowasa, Membe ni bahili fedha yake haitoki mpaka kwa koleo. Hapa kuna hesabu za Alinacha Membe atapita urai bara na Maalim Unguja haya tusubiri October
 
nafsi yangu haitaki kukubali kua kweli ccm imekubali kumpoteza membe, ccm siwaamini kabisa.
 
niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali

Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana

Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
 
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
BM anataka kugombea yeye, Act hawajali sana kuhusu kushinda sababu hawana cha kupoteza , Bado chama ni kichanga

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
2010 Slaa alikuwa na hela gani? Lissu hahitaji kuzunguka nchi nzima kama issue ni kuzunguka nchi nzima. Hoja za Lissu zinaweza kuzunguka nchi nzima, bila hata yeye kuzungusha sura yake. Ingekuwa kuzunguka nchi nzima kunaleta mvuto, basi mwenge wa uhuru ungepata mvuto maana unazunguka nchi nzima. Lissu ndio sahihi against Magufuli, na ukweli huu tunaujua na hatutoki kwenye hilo.
Tundu anajulikana wanaharakati tu
 
Kumbe ndio maana Zitto alikuwa anampigia debe Membe, hata kama hajajiunga rasmi, lakini hizi ni dalili atajiunga.

Endapo patakuwa na muungano kati ya Chadema na ACT, ni vyema umakini wa hali ya juu uwepo kwenye kumsimamisha mgombea Urais, hasa upande wa Tanzania Bara.

Yaliyotokea 2015 yanatosha, hakuna haja ya kudanganyika tena na wahamiaji, ni wakati sasa wa upinzani kumsimamisha mgombea wao, watu wenye sifa wapo.
Kwani 2015 kulitokea nini?
Mpaka tuchukue tahadhari na Membe?
 
Hiki ni kilio cha uchungu mkali kwa CHADEMA,

Mwaka huu hawapumui.


Najua hapo wanawaza sana wafanye nini?. Wakijiunga na ACT watakosa mgombea Urais Bara na Visiwani. Mwaka mgumu sana huu.
 
Back
Top Bottom