Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hilo hawalioni, mpaka mtu wa dini akizungumzia siasaWanachanganya dini na siasa.
Hilo hawalioni, mpaka mtu wa dini akizungumzia siasaWanachanganya dini na siasa.
Eeh bwana! Yanini shida maisha yenyewe tunaishi mara moja tu!Pendaelli unaogopa kuvunjwa miguu bwashee😆
Meku mbony s'aphoEeh bwana! Yanini shida maisha yenyewe tunaishi mara moja tu!
Tsicha tikie mbee, mbonyi naiyo?Meku mbony s'apho
Kwa wanaoijua dunia...WATU NI MTAJI....jitengenezee wstu....Wakuu!
Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
Sio kanisa tu...WATU....NI MTAJI.....Zama hizi biashara ya kanisa uhakika sana.....