Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
''Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea za uso na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya comedy,attention seeker but you know better ila haipendezi punguza ama muone Dr .....

namfananisha Diva na wale wanaume wa vijiweni ambao wakishagonga sehemu wanatangaza mtaa mzima,kwani akipiga kimya atakufa? mmmh Zitto kazi unayo na ndani ya moyo wako sasa unajutaa kumjua Diva, ndio hivyo uliingia choo cha bibi mwibula halafu kimejaa."



Sintah aliandika maneno hayo kwenye blog yake kumponda diva kwa kitendo chake, baada ya kuonyesha hadharani message walizokuwa wakitumiana na muheshimiwa zitto kabwe.

Kitendo hicho kilimkera kama sio kumuuma mtangazaji huyo ambapo alijibu mapigo na kuamua kufunguka live(kwenye picha chini) kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka sintah kuacha kumfuatilia maisha yake. Hata hivyo super star Wema Sepetu hakuwa nyuma nae aliingia kwenye ulingo na kumsihi diva aachane na sintah kwani ni mkorofi na anayependa kufuatilia maisha ya watu(picha chini).


attachment.php
 

Attachments

  • 1409311767940.jpg
    1409311767940.jpg
    35 KB · Views: 7,868
Baada ya ivi karibuni mh zitto kabwe kufunguka hadharani kupitia kwenye kipindi cha mkasi show, kuwa hakuwahi kuwa na mahusiano na mtangazaji maarufu 'Diva' na kuwa tetesi zilizozagaa ni za uwongo, mwenyewe diva kaja na ushahidi wa ujumbe (email) walizokuwa wakichati na mh huyo(picha chini) na kumtaka muheshimiwa huyo aache kuudanganya umma wakati ni kweli walikuwa kwenye mahusiano.

attachment.php
 

Attachments

  • 1409314593683.jpg
    1409314593683.jpg
    90.1 KB · Views: 5,850
Zito kaingia mkenge mkubwa! Madem kama hawa ni kuwatafutia makuwadi wakuletee mzigo somwhere unashusha kitu harafu hamjuani. Muda sio mrefu ataleta picha za ZK akifikia mshindo! Kaingia mkenge mno zzk
 
Pumbavu zaoo wao wana udogo gani mpaka wamuone sinta Mkubwa, wao wana ninii haswaa mfyuuuuuuuu
Wao wenyewe wazeee kila siku kurudisha miaka nyuma mbona wao wanazeeka lakini sinta bado mzuriiii,ana blog acha aandikee maana diva unapenda kuandikwaaa huna lolote umemiss mafungu ya zito kwa Gk umeyakosa atakupa nini zaidi kukuhip hop ndaniii
 
Hivi hawa mambinti huwa hawana kazi za kufanya jamani
 
Sijaona haja ya.kumtukana sinta sijui mzee na kusema eti ana tafta kiki sinta kaanza kujulikana kitambo mbona kabla yao mbona wao na udogo wote wameahakuwa wazee mapema nao mijiuso imewashuka wote hamna bora hapo nyani haoni .... Hata huyu diva hajielewi ndo nini kuweka e mail za mtu aliyekuwa naye kimahusiano na kuachana naye hana akili timamu naye mtafta kiki tu kwenye mgongo wa watu sijui na zito alimpendae wa nini mtu asiye jitambua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom