Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Status
Not open for further replies.
huyu sintah amezidi naye. blog yake siku hizi imejaa udaku tu.
 
Zito kaingia mkenge mkubwa! Madem kama hawa ni kuwatafutia makuwadi wakuletee mzigo somwhere unashusha kitu harafu hamjuani. Muda sio mrefu ataleta picha za ZK akifikia mshindo! Kaingia mkenge mno zzk

Dah demu kama huyu hajitambui kabisa nilishangaa kusikia zito anatoka naye na kamharibia sana mwenzake ukiwa public figure ina bidi kuwa makini.na.mahusiano
 
Pumbavu zaoo wao wana udogo gani mpaka wamuone sinta Mkubwa, wao wana ninii haswaa mfyuuuuuuuu
Wao wenyewe wazeee kila siku kurudisha miaka nyuma mbona wao wanazeeka lakini sinta bado mzuriiii,ana blog acha aandikee maana diva unapenda kuandikwaaa huna lolote umemiss mafungu ya zito kwa Gk umeyakosa atakupa nini zaidi kukuhip hop ndaniii

haa haa ukubwa limekuwa tusi siku utafikiri wao watabakia makinda. unakumbuka hata zama alimchambaga ray c eti mkubwa...
 
Sijaona haja ya.kumtukana sinta sijui mzee na kusema eti ana tafta kiki sinta kaanza kujulikana kitambo mbona kabla yao mbona wao na udogo wote wameahakuwa wazee mapema nao mijiuso imewashuka wote hamna bora hapo nyani haoni .... Hata huyu diva hajielewi ndo nini kuweka e mail za mtu aliyekuwa naye kimahusiano na kuachana naye hana akili timamu naye mtafta kiki tu kwenye mgongo wa watu sijui na zito alimpendae wa nini mtu asiye jitambua

Kaumia kakanwa na Zito kua hawajawahi kua wapenzii,sasa mambo yashapitaa tumetosana mtu akiulizwa akakana inauma niniii, eer hata mi nakana sikujui hata waweke picha nakana ee si tushaachana kila mtu kivyakeee

Ndio maana kila mwanaume anaonja na kusepaa huyu diva ana matatizo kama ya malaya mwenzie Wema
 
Pumbavu zaoo wao wana udogo gani mpaka wamuone sinta Mkubwa, wao wana ninii haswaa mfyuuuuuuuu
Wao wenyewe wazeee kila siku kurudisha miaka nyuma mbona wao wanazeeka lakini sinta bado mzuriiii,ana blog acha aandikee maana diva unapenda kuandikwaaa huna lolote umemiss mafungu ya zito kwa Gk umeyakosa atakupa nini zaidi kukuhip hop ndaniii

Diva attentions sicker ila zito ameingia choo cha makuti
 
haa haa ukubwa limekuwa tusi siku utafikiri wao watabakia makinda. unakumbuka hata zama alimchambaga ray c eti mkubwa...

Et wao wanajionaga wadogo sijui watabakia hivyo hivyoo,zama nae eti mdogo ukimuangalia kakomaa kama analingana na mh.Pinda
 
Kaumia kakanwa na Zito kua hawajawahi kua wapenzii,sasa mambo yashapitaa tumetosana mtu akiulizwa akakana inauma niniii, eer hata mi nakana sikujui hata waweke picha nakana ee si tushaachana kila mtu kivyakeee

Ndio maana kila mwanaume anaonja na kusepaa huyu diva ana matatizo kama ya malaya mwenzie Wema

Huyu kapiniki baada ya kuachwa alifikiri wata dumu na zito alivokana ndo anajishebedua tu kumalizia sinta hasira kwani yeye ndo alimwambia amwagane na zito hii habari yake imeandikwa na blog zaidi hata tatu nimeiona lakini anamuona sinta.ndo ana mfatilia kwa lipi alokuwa nalo ni hilo li sura lake au yeye mwenyewe anaweka maisha yake hadharani kwanini asiandikwe na alivotoa hizo email kukosa akili nako Wema naye mama kigodoro tangia afulie naye anaingilia yasiyo mhusu naye na kujizalilisha tu
 
Zitto ni mtamu jamani niulizeni mimi.anajiweza chumbani kama pornstar.mwachen bidada aumie.ubaya wake harudii dem.akikulamba ndo ntoleeee
hahahaahahah ni shidaaaaaaaaaaaaaaa! copy Asprin! hivi hubby mbona ulivyonimega hukurudi tena wallahi?????? au una undugu na zitto????

kesi hii namuachia shem wangu mkuu Kaizer!
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni mtamu jamani niulizeni mimi.anajiweza chumbani kama pornstar.mwachen bidada aumie.ubaya wake harudii dem.akikulamba ndo ntoleeee

Wachaa wee eehe hebu tupe umbea sie anawabinuaje mpaka mnachizikaaaa ana dudu mbilii moja kwenye K nyingine kwenye tigo hebu tuhabarisheee mdadaa
 
Et wao wanajionaga wadogo sijui watabakia hivyo hivyoo,zama nae eti mdogo ukimuangalia kakomaa mh.Pinda
zamaradi kweli yule ni bibi, atakuwa na umri sawa na sintah! sema sintah mwenzie kajifungua tena majuzi! ni shidaaaaaaa. eti mastar, mxuieeewwww!
 
Lol!mh.kaingia choo cha kike naona kajuta kufanya interview na diva maana ndo iliyomkutanisha nae.Ebu niende zng MMU mie.
 
Huyu kapiniki baada ya kuachwa alifikiri wata dumu na zito alivokana ndo anajishebedua tu kumalizia sinta hasira kwani yeye ndo alimwambia amwagane na zito hii habari yake imeandikwa na blog zaidi hata tatu nimeiona lakini anamuona sinta.ndo ana mfatilia kwa lipi alokuwa nalo ni hilo li sura lake au yeye mwenyewe anaweka maisha yake hadharani kwanini asiandikwe na alivotoa hizo email kukosa akili nako Wema naye mama kigodoro tangia afulie naye anaingilia yasiyo mhusu naye na kujizalilisha tu

Hawana jipyaaaa huyo Mwema yake yashamshindaaa atafute kazi awe hata housegirl wa K lyn keshatuchoshaaa ptyeeeer akalambe ndimu akipata kichefu chefu
Diva hawez shindana na Zito, Zito ni mwanaume hata angegonga mia moja,tena huyu Diva anajipendekezaa ili arudiweee na Zito, na muha anamuonea huruma tu lasivyo atafutwa
Kwa prezo napo kelelee oooo natolewa mahaliii nyook ilifika wapiiii
Wamuwaache Sinta tena ningekua mimi nina blog ningekua nawaandikaaa mkitukana napiga kimyaa nawaandika tenaa KANTANGAZEEEEEEEEEEEE,,
 
Et wao wanajionaga wadogo sijui watabakia hivyo hivyoo,zama nae eti mdogo ukimuangalia kakomaa mh.Pinda

Ha ha ha tena eti wanajiona ma tineja wao hawakui wakati nyuso mkomao ka jiwwe halafu miuso imewashuka wanachekesha sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom