warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
''Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea za uso na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya comedy,attention seeker but you know better ila haipendezi punguza ama muone Dr .....
namfananisha Diva na wale wanaume wa vijiweni ambao wakishagonga sehemu wanatangaza mtaa mzima,kwani akipiga kimya atakufa? mmmh Zitto kazi unayo na ndani ya moyo wako sasa unajutaa kumjua Diva, ndio hivyo uliingia choo cha bibi mwibula halafu kimejaa."
Sintah aliandika maneno hayo kwenye blog yake kumponda diva kwa kitendo chake, baada ya kuonyesha hadharani message walizokuwa wakitumiana na muheshimiwa zitto kabwe.
Kitendo hicho kilimkera kama sio kumuuma mtangazaji huyo ambapo alijibu mapigo na kuamua kufunguka live(kwenye picha chini) kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka sintah kuacha kumfuatilia maisha yake. Hata hivyo super star Wema Sepetu hakuwa nyuma nae aliingia kwenye ulingo na kumsihi diva aachane na sintah kwani ni mkorofi na anayependa kufuatilia maisha ya watu(picha chini).