Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Hamna kitu raha kama mwanaume ung'ang'aniwe na mwanamke maana yake anakupa kick ya kuwapata wengine.Nahisi Jamal Malinzi ana mtoto garasa anawaza kugegedwa kila dakika,kila anayemhoji akiwa jinsia yake tofauti anamtaka amgegede.
 
ROBERT MICHAEL

Yaan mpaka vitoto anavivuliaaa bado Aslay tu akihojiwa atakula mzigo
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde

Ngojea Kingkong aje atuthibitishie hapa kama kuna REA au mbolea ya Minjingu.
 
Last edited by a moderator:
cacico

mwali weeee acha tu
ivi si nilkuambia natoka kidogo? kido nakibadilikia leo siku ya 3 anagonjokwa
salam kwa twins
 
Last edited by a moderator:
Ayaaa zito nae kha! Hadi utume na email ili iweje?! Sasa sinta bibi na zito si atakuwa babu yako we diva hata huogopi baby?!
 
Hamna kitu raha kama mwanaume ung'ang'aniwe na mwanamke maana yake anakupa kick ya kuwapata wengine.Nahisi Jamal Malinzi ana mtoto garasa anawaza kugegedwa kila dakika,kila anayemhoji akiwa jinsia yake tofauti anamtaka amgegede.

Naskia yule kalelewa na mama mdogo wake huko kwa jamali anajipeleka tu kwa sasa
 
Kapenda kuanika mambo yake acha aandikweee ni blog sinta anaandika akipendacho kama wengine waandikavyo, au akiandika Sinta ni kosa

Wema nae siku kaanza kudandia mambo ambayo hayamuhusu au anatafuta kicki kwa diva
 
Dinazarde

Huyo nae katisha eti zitto mtamu khaaa!!
 
Last edited by a moderator:
warumi

heheheee..hizi ni classified kabisaa..
walahi nakunyonga...lol
 
Last edited by a moderator:
warumi

daaaah...yaani anajulisha kila mtu kwamba yuko kwenye grid ya taifa?? this bitch ni hopless kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde

hahahaaaa...atampa mapela na mishkaki,,lol
 
Last edited by a moderator:
warumi

Kwakweli nimemshangaa mama ubaya kudadandia treni hao ndo kufulia na vogodoro vime mharibu unatetea upuuzi
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde

nahisi anataka kuwa firstlady jamaa si atagombea urais?
 
Last edited by a moderator:
Naskia yule kalelewa na mama mdogo wake huko kwa jamali anajipeleka tu kwa sasa




kalelewa na mama yake mzazi huyo demu nimesoma nae primary huyo kilaza.....halafu anapenda maisha ya show off toka primary.tatizo amekulia ushenzini na maisha magumu...ngoja nimkaushie tu coz classmate wangu huyo angalau kichwani kweupe kupita maelezo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…