Ha ha ha ha kuna baa nyingine hapo carwash karibu na jopas atapata wateja baa zipo nyingi nyingi mama asiwe na shaka kabisaa
Kuna ile bar mpya karibia na kwa zena kawawa, halafu kuna kule mbele karibia na ambrosia naona kuna vi bar wamefungua vinajaaga sana pale, nadhan hatakosa, nita ku pm jpil twende tukajifanye na sisi wakishua mbona ata amini macho yake
Baba yake lulu ni auditor, yupo vizur sana kifedha, nasikia alikuwa mume wa mtu mama lulu akachepuka na huyo mzee ndo akazaliwa lulu, si unajua wana haramu hawathaminiki? Sasa ndo ivo lulu hana mbel wala nyuma ila baba yake ana uwezo mkubwa tu sema yupo busy na watoto wake wa ndoa maana lulu kashindikana kwa umalaya hataki watu wajue kama lulu ni mwanae
Hapo ulipompa mtu dokezo la kujaribu utamu wa kuwekeza kwenye kabaang,I wish complimentary ya kula hiyo bufee ningepewa mimi!!!
Kuna ile bar mpya karibia na kwa zena kawawa, halafu kuna kule mbele karibia na ambrosia naona kuna vi bar wamefungua vinajaaga sana pale, nadhan hatakosa, nita ku pm jpil twende tukajifanye na sisi wakishua mbona ata amini macho yake
USisahau na memory card ile ya GB 300, maana siku ile ulikuja na kimemory cha mb 50 yan uliniudh maumbea yote yakatupita , picha ndo habar ya mujini sasa ivi
tatizo tukiwanunulia nyumba hamueleweki nyie,ukinitosa niendelee kukuona tu kwenye nyumba yangu..gari nitakupa card feki,nyumba nakupangishia tu..Hivi siku hiz wanaume ni wagumu kuwanunulia nyumba mademu ni kuwapangishia tu,
Sio Lulu tu pia kuna rafiki yangu kapangishiwa bonge la nyumba
tatizo tukiwanunulia nyumba hamueleweki nyie,ukinitosa niendelee kukuona tu kwenye nyumba yangu..gari nitakupa card feki,nyumba nakupangishia tu..
Alaf hizi baa za mbezi sijui vip zimepangana nyingi mtaa ule lakin zote huwa zinajaa huwa nnajiuliza sana wateja wengine sio wakazi au maana kutokea pale round about mpaka kwa zena kawawa kuna baa nyingi sana na kwanzia leo jioni mpaka jion zimejaa
Ila huyo baba hayuko fair mtoto ni mtoto 2 hakuna w nje wala ndani,angemchukua akae nae labda angebadilika huwezi jua,huyo mwingne maza kazaa n nani
Hivi siku hiz wanaume ni wagumu kuwanunulia nyumba mademu ni kuwapangishia tu,
Sio Lulu tu pia kuna rafiki yangu kapangishiwa bonge la nyumba
tatizo hanuelewek hamchelew kutuacha kwny mataa