warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Ha ha ha ha kuna baa nyingine hapo carwash karibu na jopas atapata wateja baa zipo nyingi nyingi mama asiwe na shaka kabisaa
Kuna ile bar mpya karibia na kwa zena kawawa, halafu kuna kule mbele karibia na ambrosia naona kuna vi bar wamefungua vinajaaga sana pale, nadhan hatakosa, nita ku pm jpil twende tukajifanye na sisi wakishua mbona ata amini macho yake