Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Aahahahaha si ndoa apo, ray c sasa iv kafulia vibaya, nashangaa mijitu inavyosema eti kajitahid wakat ule mgahawa sio wa hadhi ya staa kama yeye, nj aibu sana

Waache wale bata wachawi tupo apa, halafu akija kufulia nione mimbwa inamtetea apo baadae akianza kuuza mihogo na chapati

Ray C hajajitahidi,mgahawa kama ule msanii akikomaa kwenye shows anaufungua kwa hela ya single moja ya wimbo,unaweza kuta hata hajaujenga wala si ardhi ya kununua bali kakodi,halafu useme kajitahidi wakati alikuwa na album na jina kubwa
 
Busara;mu exclude mamake kwenye comments zako mkuu..

Akianza kumkanya na kukubali mwanae achezewe na wanaume ndio waishi vizur basi na sisi tutam exclude, yule mama na mwanae sio mfano wa kuigwa, yan unajua mwanao hana kazi wala biashara ya nyanya, unakubalije mwanao achezewe ovyo kisa pesa?
 
Ipo siku ntaenda kuwavizia tu *****, watajutaje, labda wahamie mbinguni

Hahahahaa tunasubiria ila hiyo nyumba ni zile za zamani unaweza kuta kodi ni laki 8 mpka 1m kwahiyo bibie lazma apige kelele
 
Sometimes me naamini hizi hela wanazohongwa zina laana. Mbona wanakuwa wajinga hivyo?? Hawahangaiki kuinvest kokote. Kesho wanaporwa kila kitu wanachanganyikiwaje, but atapata buzi jipya na litamuhonga, afu still suala la kuinvest analisahau tena. Mmh hizo hongo sina imani nazo

Hela hata hazina laana,wao hawajielewi tu,badala ya kuinvest wanashindana kuhongwa.

BTW nimekumiss wife
 
Shida yako kununuliwa nyumba? Usijali n'takununulia lakini jina la kwenye hati langu na hati nakaa nayo mwenyewe na ww unabaki na lihati magumashi.

Mi ninazo tayariii hizo kamnunulie Lulu
 
Lulu unajua mama yako ni maskini na wewe huna elimu wala kazi ya maana, huo umalaya utakuua utamuacha mdogo wako akiteseka maana wanakutegemea ukajiuze wee ndo mpate pesa ya mboga kwenu, ivi huoni aibu mtoto mdogo umalaya

Ushauri huooo teh teh binam siku ukiwa na mtoto wa kike utafanyajeee
 
Hela hata hazina laana,wao hawajielewi tu,badala ya kuinvest wanashindana kuhongwa.

BTW nimekumiss wife

Hamna bana. Mbona si tuking'atwa tu na nyoka tukiona tu majani tunashtuka fasta. Wote hawana akili ya kujifunza kupitia makosa yao? Ukiinvest si ndo unazungusha hela zako na. unapata zaidi ya kuwamwagia waimbaji wa band??

Mith yeew even more hubby. Weekend si inaanza, tutaspend vya kutosha barbie wangu.
 
Ngoja wazeeke tuone kama watawavutia wahongaji,na umri ukienda bila hela lazima waombe mchango .
*******-*************************
Weekend ndo hii lazima upate kitu roho inapenda lovito.
Si unajua tukiwa pamoja raha sana
 
Na kweli fainali uzeen

Mmh baby usiongee sana basi jamani. Tunawatamanisha walio single ujue hahaha
 
Lulu unajua mama yako ni maskini na wewe huna elimu wala kazi ya maana, huo umalaya utakuua utamuacha mdogo wako akiteseka maana wanakutegemea ukajiuze wee ndo mpate pesa ya mboga kwenu, ivi huoni aibu mtoto mdogo umalaya

Kwani huyu lulu baba yake hatoi hela y matunzo,huyo mdogo nae baba yke hatoi matunzo
 
Kwani huyu lulu baba yake hatoi hela y matunzo,huyo mdogo nae baba yke hatoi matunzo

Baba yake lulu ni auditor, yupo vizur sana kifedha, nasikia alikuwa mume wa mtu mama lulu akachepuka na huyo mzee ndo akazaliwa lulu, si unajua wana haramu hawathaminiki? Sasa ndo ivo lulu hana mbel wala nyuma ila baba yake ana uwezo mkubwa tu sema yupo busy na watoto wake wa ndoa maana lulu kashindikana kwa umalaya hataki watu wajue kama lulu ni mwanae
 
Ha ha ha ha #warumi una mawazo kama yangu siku unaenda ni pm tuende wote labda wahame huku

Ntaku pm twende binamu tukashuhudie, ye anakimbilia mbezi beach anafikr hakuna wambeya, ata amini macho yake
 
Bilionea lenyewe ni la ki'Asia lazima lulu anatoa Nnya, mshkaji wake Steve Nyerere wako nae Dodoma
 
Huyu mtoto ni mpumbavu, na ile nyumba aliyokuwa akijenga sijui imekuwaje, au ndo ilikuwa danganya toto, maana mastaa wanayaweza kwa kweli, ukapange nyumba ya laki nane kwa mwezi wakati anajua mama yake ni masikini na yeye hana elimu wala pesa

Wasanii wengi watanzania vichwa vyao vimeharibiwa na hizo movie wanazofanya yan hawataki.kuishi the life that they have ukiangalia kimahesabu unapanga nyumba laki nane why not make a saving ya laki 4 au 5 each month toka nje ya mji kidgo hapo ununio the town is moving towards that side anunue kiwanja ajenge mdogo mdogo wana kaa kushindana kuvaa na kubadilisha magari so what hata mwenye passo nalo gari
Ujinga na kukosa mwelekeo wa maisha ndio huwa sababisha wasiendelee na atlast kuangukia kwenye drugs kwa tamaa ya pesa za chapcha

Easy come easy go
 
Ntaku pm twende binamu tukashuhudie, ye anakimbilia mbezi beach anafikr hakuna wambeya, ata amini macho yake

Ha ha ha ha kuna baa nyingine hapo carwash karibu na jopas atapata wateja baa zipo nyingi nyingi mama asiwe na shaka kabisaa
 
Back
Top Bottom