Rip Kanumba.....ipo siku mungu atakulipizia kisasi.binti mbaya sb.ona anakula utamu na mtu mwingine,muda si mrefu naye katamuua ....
Jamani wewe acha kumuombea mabaya ...Muache na Dhambi zake mwenyewe Bwana ....Allah anaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rip Kanumba.....ipo siku mungu atakulipizia kisasi.binti mbaya sb.ona anakula utamu na mtu mwingine,muda si mrefu naye katamuua ....
Bilionea lenyewe ni la ki'Asia lazima lulu anatoa Nnya, mshkaji wake Steve Nyerere wako nae Dodoma
Na kweli fainali uzeen
Mmh baby usiongee sana basi jamani. Tunawatamanisha walio single ujue hahaha
Tatizo show off, wanataka waishi kama mastaa wa ulayaa...
Akae juu ya gar mwenzangu, maana na yy mbea kiama
Si Mpaka tufike:A S 114:
Mashauzi kama hayo ya Nyumba na Nguo , sijui Dizaina sijui Madudu gani yaliwahi kuonyeshwa na Yule Mrembo wetu aliyebananishwa Makau- Chineze , the Panadol Business mhhh hata Msitishike wanakuwa na Makubwa sana hao Mabinti !
Duh..umenikumbusha yule mrembo wa macau alihojiwa clouds akajifanya "ooh am living my dream...natamani mje kunifanyia interview kwangu, halafu wanaonisema wote masikini"
Daadeki sasa hivi analinye.a tu huko kwa kina Xing Xhong.....
Hahahahaha :ranger: hata wanaopewa chips yai wanatoa hiyo kitu ! so bora walio value zao na kuzipandisha thamani
Hakuna kupunguza mwendo kwenye bams, ngoma speed 80 mwanzo mwisho, tunawahi umbeani
Kule kuna watu wana pesa mbaya, kuna club inaitwa ambrisia iko karibu n round about, yan kule ni full watoto wa kishua, Dinazarde ukitaka madanga ya maana we siku ntakupeleka pale
MoudyBoka
Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara
Na umbea amuachie nanii??
Jiran si unajua harakat za kutafuta maubuyu mjini, kila sehem lazima nipite