Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Picha: Billionea ampangishia Lulu jumba la kifahari

Rip Kanumba.....ipo siku mungu atakulipizia kisasi.binti mbaya sb.ona anakula utamu na mtu mwingine,muda si mrefu naye katamuua ....

Jamani wewe acha kumuombea mabaya ...Muache na Dhambi zake mwenyewe Bwana ....Allah anaona
 
Mashauzi kama hayo ya Nyumba na Nguo , sijui Dizaina sijui Madudu gani yaliwahi kuonyeshwa na Yule Mrembo wetu aliyebananishwa Makau- Chineze , the Panadol Business mhhh hata Msitishike wanakuwa na Makubwa sana hao Mabinti !

Duh..umenikumbusha yule mrembo wa macau alihojiwa clouds akajifanya "ooh am living my dream...natamani mje kunifanyia interview kwangu, halafu wanaonisema wote masikini"

Daadeki sasa hivi analinye.a tu huko kwa kina Xing Xhong.....
 
Duh..umenikumbusha yule mrembo wa macau alihojiwa clouds akajifanya "ooh am living my dream...natamani mje kunifanyia interview kwangu, halafu wanaonisema wote masikini"

Daadeki sasa hivi analinye.a tu huko kwa kina Xing Xhong.....

Xiang jiangxo
 
Hahahahaha :ranger: hata wanaopewa chips yai wanatoa hiyo kitu ! so bora walio value zao na kuzipandisha thamani

Mmh binamu una maneno, ina maana unawasapoti hao malaya? Kama umalaya ungekuwa unalipa wolper na mama ubaya wangekuwa mabilionea, hakuna mtu duaniani aliyewahi kutajirika kwa umalaya binamu, usipotoshe wadogo zetu
 
MoudyBoka

Goli moja kilo ndo bei ya chini hiyo fasta

deepsea,

Deepsea ya wapi wewe?! Tanga,kimbiji obay au Atlantic??!! Fahari ya macho si inaruhusiwa??!! Kwa hiyo kilo nitapewa rist ya zile mashine wanazozigomea wafanyabiashara/EFD??! Ndio maana nasema TRA wawajumlishe wapenda madanga!!!
 
Last edited by a moderator:
Kule kuna watu wana pesa mbaya, kuna club inaitwa ambrisia iko karibu n round about, yan kule ni full watoto wa kishua, Dinazarde ukitaka madanga ya maana we siku ntakupeleka pale

Basi jirani naona utakua na wewe miongoni mwa.hao wana ambrosia itabidi nikutafute kwa hali na mali
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lao kubwa ni kushow off na mashindano ...kama hvyo amshinde wema na kajala hyo akili matope......wakati angenunua nyumba ya kawaida tu.....t
 
MoudyBoka

Huyu malaya bora angenyamaza kimya, eti anajimudu nyumba kapangs mwenyew, kwa pesa ipi au filamu ipi? Malaya tu mbwa huyu bora wangelirudisha jela tu ***** likaliwe na manyapara

Hahahaa haaaa
Binamu taratibu msamehe
 
Last edited by a moderator:
Basi jirani naona utakua na wewe miongoni mwa.hao wana ambrosia itabidi nikutafute kwa hali na mali

Jiran si unajua harakat za kutafuta maubuyu mjini, kila sehem lazima nipite
 
Back
Top Bottom