PICHA: Binti amshangaza mpenzi wake kwa kumnunulia gari siku ya Valentine

PICHA: Binti amshangaza mpenzi wake kwa kumnunulia gari siku ya Valentine

Huyo binti anaweza kunyanyua hayo maviatu aliyoyavaa kweli?
 
Kidogo wa Kenya [emoji1139]wako vizuri kwenye mahusiano siyo Kama [emoji1241]Kwetu
 
Yasije kuwa yale ya yule jamaa wa hapa bongo aliyeambiwa na mke wake kua anamlisha.
 
Cjui kwa nini Bongo warembo wa hivi hawapo.
 
ke1.jpg
Binti mmoja aliyetambulika kwa jina Fridah Kariuki ambaye ni mwanamitindo ameamua kum-suprise’ mpenzi wake Michael Musyimi kwa kumnunulia gari aina ya Mercedes Benz kama ishara ya mapenzi kwake.

ke2.jpg

Binti huyo mwenye umri wa miaka 20 na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Methodist nchini Kenya (KeMU), ameeleza kuwa amekopa fedha kwa baba yake ili aweze kumnunulia mpenzi wake gari analolipenda.

Wawili hao wamekuwa wapenzi kwa muda wa miaka minne sasa na wana mpango wa kuoana.

ke3.jpg
Wapendanao hao wameongeza kuwa wazazi wao huwapa msaaada mkubwa sana katika mahusiano yao.
 
Binti kampigia mahesabu ya mbali jamaa :
Jamaa ana bonge la biashara au CEO flani hivi!
Jamaa ana magari mengi mazuri kwa hiyo hilo ni kama one of his shirts!
Wanawake huwa tuna mahesabu yetu kichwani!
Na huyo baba wa binti hawezi nunulia fala gari kama hiyo!
[emoji23][emoji23]wanaume akil zetu tunazijua Akija kuachwa atalia kama mbuzi
 
Back
Top Bottom