kipele cha ndevu
Senior Member
- Jan 22, 2018
- 161
- 117
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka watu wameshangaa, i see watu mna manenoWapo wanawake hata huku bongo!yaani mwanamke anajitoa kukusaidia hadi unaskia raha!yaani mnasaidiana kupita kiasi.kuna wengine anakukamua hadi aone umekunya damu ndo akuache
[emoji23] [emoji23]Bongo huku akikununulia atahakikisha mtaa mzima unajua,Joyce kiria kalipa kodi ya nyumba tuu dunia imejua
Pia sio dogo hilo mkuu.Mademu wa Bongo zao ni kukununulia boxer au singlet.
Sheria ya Kenya inakubali jombaa, mananasi yakichomoka tu, ruksa kwetu kuyatafuna! 😀Binti miaka 20 wakiume hawajasema miaka mingapi! Kama mwanaume anamiaka 22 imaana kibongobongo jamaa amebaka miaka miwili mfululizo. Sijui sheria zao zikoje
Kuna mmoja alimlipia ada ya laki nne mpenzi wake akaja kumfungulia uzi JF.Bongo huku akikununulia atahakikisha mtaa mzima unajua,Joyce kiria kalipa kodi ya nyumba tuu dunia imejua
Huyo mwanamke ni Takataka kabisa.Bongo huku akikununulia atahakikisha mtaa mzima unajua,Joyce kiria kalipa kodi ya nyumba tuu dunia imejua
Haha sio msumari kajitoa tuKweli uchawi upo