Picha: Birthday ya Le Mutuz

Huyu mshikaji mbona kila time na mabinti dam dam?
 

Wewe na samaki wako
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa

I guess only totoz where invited..















- Jamani heshima mbele sana hii nilikuwa sijaiona u know it was wasap U know, jamani le bash ilikuwa powa sana U know nimesoma comments nyingi sana hapa zinaonyesha zimeandikwa na watu wenye wivu, kwa sababu kama ni mabebz nimeanza ubaharia nikiwa 18 na nimetembea almost the whole World sasa niambie nimeona mabebz wangapi kwenye my life? I mean people punguzeni wivu u know kama huyawezi wenzako tunayaweza wewe tuliza boli usubiri tu kuandika comments zako baada ya wanaume kufanya mambo yetu huko Hilton Double Tree sijui hata kama unaijua ilipo hapa Bongo, kabla hujarusha ujinga wako uliza imegharimu pesa ngapi kwanza uone kama unaweza au nenda fanya yako ndio uje useme semee na makelele ya mlango, tuliza boli people msioelewa kwenye haya msiaha tupo kama mimi wafanyishaji hatujali anythign we just do it na kuna kama wewe kazi kupiga kelele za mlango, ha1 ha! ha"!

Le Mutuz
 
Ama kweli ngoja na mie nianzishe show ya babu bomba I guess le mutuz ataibuka na ushindi wa kishindo!!
 
- Hamna mkorogo huyo ni Super Model namba moja Tanzania nzima hakunagaz punguzeni mawivu ya kitoto!!, ok!!

Le Mutuz

yo yo yo wasape my nigga? wana wivu hao mabaharia miaka yote ni matawi ya juu, mabebs wa ukwehe wanapenda kuhang out na watu wenye title zao mjini.
 
Ama kweli ngoja na mie nianzishe show ya babu bomba I guess le mutuz ataibuka na ushindi wa kishindo!!

Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.
 
Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.

Kumbukeni Le Mutuz ni mzazi jamani na yupo jumuiya ya wazazi wa chama chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…