Picha: Birthday ya Le Mutuz

sijawahi kuona zuzu kama wewe. wahi mirembe ukapate tiba kabla hujaanza kuokota makopo
 
le mutuz kuna mabebz wanadai hubadilishagi hilo shati lekundu
 
Unabisha Kuwa Ujatimiza Miaka 52 Au.??
 
Daa nimecheka sana..... dunia hiii daa..
 
sijawahi kuona zuzu kama wewe. wahi mirembe ukapate tiba kabla hujaanza kuokota makopo

- HA! HA! HA! Mkuu sana zuzu mimi na wewe ni nani, mimi nalipwa kuwepo humu mitandaoni wewe hilipwi sasa amua mwenyewe zuzu ni nani hapa! ha! ha! ha! chezeya Le Big Show!!

Le Mutuz
 
Unabisha Kuwa Ujatimiza Miaka 52 Au.??

- sijatimiza na hata nitakapoifikia bado nitafanya party kama hii utajibeba kama hupendi nenda UKAWA waombe waanzishe Sheria ya kupiga marufuku wananchi wenye umri kuanzia miaka 52 kutokufanya party za birthday zao le mburulazzzz that is what you are!!

Le Mutuz
 
Acha Kuikata Miaka Yako Wewe.
 
2012 Ulikuwa Na Miaka 50 Leo Umeshuka Miaka.
 
2012 Ulikuwa Na Miaka 50 Leo Umeshuka Miaka.

- ha! ha! ha! ha! ha! le mburulazzzz mnanivunja mbavu sana next month ninaangusha anaother big bash so stay tuned people okeeee!! hamna umri hapa kama huwezi haya mambo kaa pembeni okee!!

Le Mutuz!!
 
- ha! ha! ha! ha! ha! le mburulazzzz mnanivunja mbavu sana next month ninaangusha anaother big bash so stay tuned people okeeee!! hamna umri hapa kama huwezi haya mambo kaa pembeni okee!!

Le Mutuz!!

sawa bwana mdogo Le Mutuz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…