Picha: Birthday ya Le Mutuz

Picha: Birthday ya Le Mutuz

- Wewe unajisema kwamba huna akili mimi this is business wewe ni kelele za mlango unajua debe tupu, na wewe fanya birthday yako uweke kama huwezi kaa pembeni usome zetu na utazisoma mpaka mwisho wako au ujifunze na wewe kuweka hapa ok!! ha! ha1 ha! unaandika pumba tu[pu!!

Le Mutuz

sijawahi kuona zuzu kama wewe. wahi mirembe ukapate tiba kabla hujaanza kuokota makopo
 
le mutuz kuna mabebz wanadai hubadilishagi hilo shati lekundu
 
- ha! ha! ha! ha! nikifikia nitakushitua hiyo miaka, otherwise bataz zinaendelea wangu kelele za mlango ni kawaida maana wewe huwezi kufanya birthday ikaandikwa hapa so utaendelea KUISOMA KWA watu kama mimi na utahesabu miaka mpaka ufe, kudadeki mwendo ni ule ule sijawahi kusikia birthday ukiwa na miaka 52 hutakiwi kuifanya lazima wewe ni super mbululazzz!!

Le Big Show

Unabisha Kuwa Ujatimiza Miaka 52 Au.??
 
Daa nimecheka sana..... dunia hiii daa..
 
sijawahi kuona zuzu kama wewe. wahi mirembe ukapate tiba kabla hujaanza kuokota makopo

- HA! HA! HA! Mkuu sana zuzu mimi na wewe ni nani, mimi nalipwa kuwepo humu mitandaoni wewe hilipwi sasa amua mwenyewe zuzu ni nani hapa! ha! ha! ha! chezeya Le Big Show!!

Le Mutuz
 
Unabisha Kuwa Ujatimiza Miaka 52 Au.??

- sijatimiza na hata nitakapoifikia bado nitafanya party kama hii utajibeba kama hupendi nenda UKAWA waombe waanzishe Sheria ya kupiga marufuku wananchi wenye umri kuanzia miaka 52 kutokufanya party za birthday zao le mburulazzzz that is what you are!!

Acha Kuikata Miaka Yako Wewe.
 
- sijatimiza na hata nitakapoifikia bado nitafanya party kama hii utajibeba kama hupendi nenda UKAWA waombe waanzishe Sheria ya kupiga marufuku wananchi wenye umri kuanzia miaka 52 kutokufanya party za birthday zao le mburulazzzz that is what you are!!

Le Mutuz

2012 Ulikuwa Na Miaka 50 Leo Umeshuka Miaka.
 
- ha! ha! ha! ha! ha! le mburulazzzz mnanivunja mbavu sana next month ninaangusha anaother big bash so stay tuned people okeeee!! hamna umri hapa kama huwezi haya mambo kaa pembeni okee!!

Le Mutuz!!
 
sawa bwana mdogo Le Mutuz.
 
Back
Top Bottom