Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?

View attachment 3282531
Bomba hili usafirishaji wake ni tofauti na lile la TAZAMA la kwenda Zambia, hili mafuta hupashwa joto ili yatiririke wakati la Tazama mafuta husukumwa, hivyo ukilifukia hautaweza kulipasha joto.
NB, nunueni majiko ya gesi kwa ajili ya tenda ya kulipasha joto, mimi ninayo.
 
Bado mpk kwenye hatua ya finishing huko baada ya majaribio na testing..sidhani kama Kuna bomba la mafuta linaweza kuachiwa wazi hivo kuepusha majanga na ajali za wanyama
 
KUna mfumo wa umeme kwenye hizo bomba utakaotumika kupasha joto.
 
mhm kwenye majiko ya gesi sijakuelewa mkuu
 
Daa hii kali ya mwaka.
Bomba lazima lifukiwe kwa sababu za kimazingira.
Kuna mfumo maalumu wa upashaji joto ambazo ni cable zitakazo wekwa kwenye bomba.
Kwann tunapasha joto ni kwa sababu ya nature ya mafuta yanayo chimbwa uganda yameganda kama nta ukiyapasha joto yanakuwa kimiminika rahisi kwa usafirishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…