Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Huna akili weweTunaongozwa na form IV failure... Inauma sana..
Wapi?Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.
Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.
Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanAmiri jeshi mkuu, typo bae mpaka 2030
😂😂😂😂😂 Wakatoliki Wana vijoraHii ndio picha bora ya kufungulia mwaka nakuona pale nyuma.
View attachment 3526371
Wewe chawa, hiyo picha ya huyo Izraeli wako mtoa roho za watu iko wapi sasa!Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.
Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.
Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tangu lini mwendawazimu ukawa na uwezo wa kumtambua mwenye akili? Pole sana kwa wazazi wako kwa kumpata mtoto kama wewe uliye nyumba ya shetani.Huna akili wewe
Hamzidi samuya mkuu, kumbuka huyo mama alipata D moja tuu matokeo ya form 4!Huna akili wewe
Huna akili wewe