Picha bora ya kufungulia mwaka kutoka kwa Rais Samia na Mkuu wa Majeshi

Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.

Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.

Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ungeweka na picha ya ng'ombe wa shilole
 
Kama wewe ni Mtanganyika sio mzanziber basi kalale na Emancipate akiliyako kutoka kwenye hili Giza. kuwa na haruma na nchi yako. Polepole alikuwa zaidi yako muone mamayake analia hii Leo hamna Kabudi wala Lukuvi au Kakulwa wakimpa japo pole.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Picha ambayo imekuwa picha Bora ya kufungulia Mwaka huu wa 2026.

Kwa Hakika inaleta raha sana kuona namna Rais wetu alivyo Makini ,mkakamavu na Shupavu na mwenye umakini wa hali ya juu sana. Tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kutembea vifua mbele kwa kuwa na uhakika wa kuvushwa katika kila bonde na mlima.

Rais Samia kwa hakika ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Hakuna Mwanadamu awezaye kumshusha wala kumchafua ama kumpaka matope.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Weweee hapa ni yupi kama upo basi CCM inakupenda kama haupo kaa kimya
20251221_061219.jpg
 
Kila la kheri Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote, Africa na dunia nzima:FIRE:
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20260107-100743.jpg
    Screenshot_20260107-100743.jpg
    96.3 KB · Views: 18
Back
Top Bottom