Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pixel 7...Nimejaribu kuifuatilia hiyo s23, nimeshtuka sana baada ya kukuta inauzwa Tsh 2.3m. Mkuu hakuna simu ya bei chee inayopiga picha kama hiyo?
Mkuu, mbona unataja simu zenye bei ya JF?Pixel 7...
Tafuta Infinix note 11, au pixel 3xl zote hizo bei zake ni chini ya laki 4.Mkuu, mbona unataja simu zenye bei ya JF?
1.9m kwa usawa huu kweli!!!? Mimi nahitaji simu ya kimaskini yenye camera swaafi
Hiyo note 11 nimeielewa, tatizo hapa kwenye bei sijui watakuwa wanadanganya? Ngojea nikaingie madukani nijiulizie mwenyeweTafuta Infinix note 11, au pixel 3xl zote hizo bei zake ni chini ya laki 4.
Iphone 14 Pro Max is tshs 4.6 mil sio mil 3.1Mmh! Mkuu, hiyo 3.1m ni pesa ya viwanja viwili Mlandizi
Hii sini Amazon au app gani hiyo ya uswisi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]mzee ukitaka kununua kitu usiconvert utaumia kichwa tu. Pc nayotumia ilinunuliwa Uswisi kwenye online shop ya Galaxus cheki bei yake
1867 swiss franc arround 5+m tsh
View attachment 2784176
[emoji1787][emoji1787][emoji17]Nimecheka sana mkuu,
Una masihara kabisaaaa
Sasa 5MP zina umuhimu gani?
Sijakataa kuwa bei yake ni rafiki, 180k, ila camera zake sio
View attachment 2784163
Fuatilia vizuri review za ubora wa Camera, haikuti Samsung Galaxy S23 Ultra sportIphone 14 Pro Max hii hatari sana
Galaxus inaitwaHii sini Amazon au app gani hiyo ya uswisi mkuu
pixel 6A, hii ita range kwenye 700k-900k huko1.7m [emoji24]
Kwani hakuna simu ya kimaskini yenye 1080p× + 50MP na zaidi?
Hiyo bei sio kwa pcs?[emoji23][emoji23][emoji23]mzee ukitaka kununua kitu usiconvert utaumia kichwa tu. Pc nayotumia ilinunuliwa Uswisi kwenye online shop ya Galaxus cheki bei yake
1867 swiss franc arround 5+m tsh
View attachment 2784176
Kiongozi; hiyo ina Camera nzuri ila kwenye mashindano ya camera kali za simu haiwezi kuingiaS 10 Plus ina Camera nzuri sana...
Hapa naona uzi tu ufungwe. Nilichokihitaji kimetimiaTekNo Spark 10 Pro jaribu hiyo mzee
Kweli...mie natumia A53 5G camera zake kali balaa...Samsung A24 na kuendelea camera yake ni balaa mzee
Hiyo uliyonayo camera yake ni balaa hapo hata iPhone 14 pro max hasogeiKweli...mie natumia A53 5G camera zake kali balaa...
Ila na Huawei nazo balaa... sema sizijui hata matoleo yake.