Picha: Camera ya simu ipi inaweza kupiga picha bora zaidi kama hizi?

Picha: Camera ya simu ipi inaweza kupiga picha bora zaidi kama hizi?

Vipo visimu vinaitwa Aquos vinapicha kali balaa, vinatoa uhalisia halisi, havichanganyi rangi, vina sharp color ya ajabu sana, pia picha ni ujuzi jinsi ya kupiga, kumbuka watu wanasomea hadi mwaka upigaji wa picha nzuri /
 
Hizo simu mkuu zinapatikana hapa nchini? Vipi kuhusu gharama
 
Kiongozi; hiyo ina Camera nzuri ila kwenye mashindano ya camera kali za simu haiwezi kuingia
kwani hata A73 imeipita
Mkuu ametaka simu yenye Camera nzuri na bei yake ipo vizuri ndio nikamtajia hiyo ila hizi IPhone series au Sumsung S 23 utra zipo bei juu sio swala la mashindano hapo au...
 
Galaxy a13
 
Attachments

  • Screenshot_20231019_044226_Chrome.jpg
    Screenshot_20231019_044226_Chrome.jpg
    62.7 KB · Views: 21
Nimejaribu kuifuatilia hiyo s23, nimeshtuka sana baada ya kukuta inauzwa Tsh 2.3m. Mkuu hakuna simu ya bei chee inayopiga picha kama hiyo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
We si umesema unataka simu yenye picha kali mchongo ndo huo

Dah ! eti nmeshtuka da umenichekesha
Ulivyokuja kwa mbwembwe nikajua mwanangu uko vizuri sana bei si tatizo sisi tutaje simu yenye camera kali then uzame SHOP faster

Tafuta S20 au S21 china plaza kwa jamaa anaitwa ZAHOL MATELEPHONE mseach INSTAGRAM
utapata simu nzuri(USED) kwa ghalama nafuu utaenjoy maisha kwa picha kali na udambwiudambwi mwingine wa kufa mtu
 
Back
Top Bottom