Wakuu,
Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi?
Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za kufuatilia matukio ya CCM humu mitandaoni?
Wikiendi iliyopita tuliona kulikuwa na matukio ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake. Tukio moja liliongozwa na Rais Samia huko Arusha meanwhile CHADEMA walikuwa na tukio lao huko Mlimani City.
Kinachongaza ni kuwa chama chenye wanachama Milioni 12 kiliambulia kupata watazamaji 1000 tu kwenye tukio meanwhile CHADEMA walitazamwa mara 50k.
Maana yake ni kwamba CCM waliangaliwa na 0.0083% ya wanachama wao.
Hii ni wazi kuwa CCM imepoteza mvuto na hakuna mtu ambayo anahangaika nayo.