Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!


sasa we unavyosema wazungu ndo wanaongoza kwa ushoga maana yake ndo ukristo unaruhusu ushoga unatakiwa kujua kwamba sio wazungu wote wakristo na wala makosa ya mapadri au makanisa 1 au mawili sio ukristo wote tunaongozwa na Biblia kama kuna sehemu imeruhusiwa ushoga kwenye Biblia ndo uongee

hili swala ni la mtu binafsi so huwezi kulihusisha na dini mbona hapa tz kuna kesi tu nyingi za mashehe kulawiti watoto madrasa mara kibao tu huko zanzibar mombasa ni dini gani inaongoza so nasi tuseme uislamu ni dini ya kishoga??

me tokea udogo wangu nimeanza kusikia ushoga maeneo yaliyokaliwa na waarabu.
 

Mbona unajiaibisha wewe marekani au ulaya kuongoza kwa ushoga ndo ukristo unaongoza kwa ushoga yani unaongea pumba sijawahi sikia ushoga ni dhambi kama nyingine yeyote na dunia nzima dhambi inatendwa swala lamtu kufanya ushetani kwa kuufurahisha mwili wake ndo uje uihukumu dini kwamba ndo imemtuma au??

hapako mahali kwenye Biblia imeruhusiwa na Biblia ndo ukristo na unatakiwa kufahamu kwamba wazungu pia wameletewa ukristo kama waafrika walivyoletewa na sio wazungu wote wameokoka.

yani unajaji mambo kipumbavu kweli hujui hata unachokiongea jaribu kuchunguza hali ya ukristo marekani na ulaya alafu ndo uonngee au unavyoona mtu anaitwa John basi we akili yako fupi inakupeleka huyu ni Yohana mbatizaji

sio wazungu wote wenye majina ya kibiblia ni wakristo.
 
Dini hizi zote zina uchoko uchoko maana hapa kwetu mashehe na mapadri kwa kipindi tofauti wamenaswa wakijihusisha.mkitumia vigezo mnavyobishania humu
 
Dini hizi zote zina uchoko uchoko maana hapa kwetu mashehe na mapadri kwa kipindi tofauti wamenaswa wakijihusisha.mkitumia vigezo mnavyobishania humu
..Sio tatizo la dini hilo ni tatizo la mtu huyo unae mwita shekh na huyo unae mwita padri usihusishe kosa/tatizo la mtu na dini yake. Hakuna dini/kitabu yaani Taurati,Ijili,zaburi na quraan inayo halalisha uchafu huu na uhalifu wa aina yeyote ile. dini sio padri wa shekh dini ni vitabu tena vitabu vitakatifu... ww huna ndini ndio maana umethubutu kuandika upumbavu huu.
 
Kuna vitu havitakaa vikaniingia kilini, hivi inakuajeeeeeeee?? Na kwanini huko kwao ndio sana! Mtoto anatakiwa atiwe mikwaju ya kufa mtu, afanye kazi nzito mtoto wa kiume sio kufuma vitambaa, stu..pid kabisaaa! Puuuuuuuuuuuuuuuuuu! Nimesikia kinyaaaaaaa!
 
Huwa napenda Mieleka, nilivoojua huyu Darren Young nae yupo huko nilisikitika sana....



besti na mimi nmesikitika sana tu japo hata kwa hao wengine pia ni mbaya,

but wrestling is my best show i enjoy...

sasa huyu jamaa si akina big show, undertaker, rand orton na wengineo wanammalizia masikini mule mule ndani?
 
cacico,

asikwambie mtu dadaangu, malezi always ndio huchangia haya mambo!! just imagine, mtoto eti akichapwa fimbo sababu kakosea, unashitakiwa!!

mbona vitabu vya dini vinaruhusu adhabu kwa watoto endapo wakikosea? hii kwao imekaaje?

hawa jamaa wanawapa watoto wao uhuru uliopitiliza!
 
Last edited by a moderator:
Dini hizi zote zina uchoko uchoko maana hapa kwetu mashehe na mapadri kwa kipindi tofauti wamenaswa wakijihusisha.mkitumia vigezo mnavyobishania humu

kidogo tu.... hebu elezea uchoko wa dini unazosemea!
 
Mkuu security code kila mtu humu anatoa mfano wa viongozi wa dini ingine kuwa ina ushoga.sasa kama muislam atasema viongozi wa kikristu ndio wanaofanya vitendo hivyo.halafu atakuja mkristo atatoa tuhuma hizo hizo.basi tuite zotee zina huo unaoitwa uchoko.ila hizi dini zitawaua siku moja
 
ukisoma post yangu mwishoni nimesema kwa vigezo mnavyotumia kubishania angali mkijua wayatendayo ni binaadamu.ila yote kwa yote tunapigania sana dini na kusahau mungu ndie kila kitu.
 
ukisoma post yangu mwishoni nimesema kwa vigezo mnavyotumia kubishania angali mkijua wayatendayo ni binaadamu.ila yote kwa yote tunapigania sana dini na kusahau mungu ndie kila kitu.

Mtu yeyote anaesema jamii ya dini fulani ndio inayo bariki au kukubaki huu uchafu hayuko sahihi huyo hajasoma kitabu husika cha hiyo dini anaihukumu hiyo dini kwa maovu ya viongozi wahiyo dini nikosa kubwa kuhukumu dini au kabila au jinsia kwa kosa la mtu binafsi. Dini sio ya kiongozi. dini ni kitabu husika cha dini husika.. kitabu gani kinaruhusu kamu luut? Tuache kuzichafua dini na kuchezea vitabu vya mwenyezimugu.. ni bora sana kunyamaza kuliko kuongoea upuuzi:msikilazaji hufaidika zaidi kuliko anae zungumza upuuzi.
 
Yaani ad roho inauma barney mr leg-endary,scofield pia aisee m speechless mwenyez mungu nakuomba nusuru kizaz changu

Amen ndugu yangu, nashiriki sala yako kwa nguvu zote...
 

jaribu kutfuta usiropoke kuvaa kanzu na hijabu ndio kigezo hakuna wanaofnya ayo mambo pimbi ww
 

mkuu uyo jamaa ajielewi ivi anadhani uko uarabuni hakuna watu walioumbwa na element za kishoga ajui ni sheria zao ndio kikwazo asitake kusema uongo kwamb hajui tabia za waarabu kuwala wake zao nyuma mpumbavu sana
 
Mimi nashindwa kuwaelewa wale wanaohusisha huu ushenzi na dini, sasa ujinga wa mtu na dini vinahusianaje? Maana vitabu vyote vinakataza. Huku ni ujinga wa mtu binafsi. Wazungu wengi kwanza hawana dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…