Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

besti na mimi nmesikitika sana tu japo hata kwa hao wengine pia ni mbaya,

but wrestling is my best show i enjoy...

sasa huyu jamaa si akina big show, undertaker, rand orton na wengineo wanammalizia masikini mule mule ndani?

randy orton mwenyewe ana kashfa ya u gay
 
K 4 real wanambandua pia???are u sure??sio alibakwa kwa bahati mbaya???
 
Humu ndani kuja jamaa anajiita Scofield...

Ningekuwa Mimi ningalibadili Hiyo id
 
Laana kabisa hawa!mwanaume unagongwa na mwanaume mwenzako!laana hawa,na hao wanawake balaa kabisa!laana wote.
 
Nasikia FA alikua anajiita Michael Scofield wa bongo

Mkuu nilikuwa napenda hilo jina kutokana na u-character wake kwenye prison break....na The flash....

Anajua ku-act kiukweli....but hiyo mishe ya ucameron unamuharibia...
 
Mkuu nilikuwa napenda hilo jina kutokana na u-character wake kwenye prison break....na The flash....

Anajua ku-act kiukweli....but hiyo mishe ya ucameron unamuharibia...

Na wewe ulishawahi kujita Michael Scofield wa mtaani kwenu?
 
Back
Top Bottom