Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

Huyo Michael scofield alivyo tengenezwa penye prison break kuwa mjuaji sanaaa na mipango yake inafanikiwa nilimhusudu sana.Duh niliposikia kuwa punga mahaba yangu yakahamia kwa Theodore bagwell the convict na Fernando sucre.
 
Naacha ku dowload how i met your mother season 9,na big bang theory season 7,kumbe burne na sheldon sio kitu

Mkuu Burney alivyokua legendary kwenye hiyo series hata huwezi amini ni choko in real life
 
Ee Mungu nakuomba utunusuru ni hili wimbi la ushoga baba dunia inateketetea watoto wa kiume tuwafiche wapi Ee Mungu simamia malezi yetu
 
Back
Top Bottom