Uchaguzi 2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

Hivi hizi picha za mikutano ya kampeni ya Chadema za mwaka 2020 ni bora zaidi kuliko 2015? Kazi mnayo wapinzani uchwara! Hata Lissu mwenyewe ameshakata tamaa sema ni vile tu inabidi akamilishe ratiba ya kampeni. Ndio maana Magufuli ameona asipoteze muda kwa kwenda mikoa ambayo tayari kuna kura za kutosha kabla hata ya kampeni. Upinzani huu uchwara kuing'oa ccm madarakani mimi nitahama nchi kwa mshangao! tarehe 28/10/2020 MAGULI MAPEEEEMA IKULU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…