Uchaguzi 2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

Uchaguzi 2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

Shida inabaki kwa mawakala, wakiweza waweke mawakala wa wa chadema na vyama vingine
 
Twende na Tundu Lissu twende na chadema
 
kwa nyomi tu mbarali chadema hawafiki hata robo la nyomi ya mikutano ya ccm so kama kigezo ni wingi wa watu bas chadema mbarali wameikosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa YouTube Simamia Tv naangalia Live Huu umati wa Watu sijawahi kuona
 
0997EB4A-FDE0-451B-8C2B-02F613D91192.jpeg
0997EB4A-FDE0-451B-8C2B-02F613D91192.jpeg
0997EB4A-FDE0-451B-8C2B-02F613D91192.jpeg
 
MAWAKALA WA CHADEMA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU NA MBINU ZOZOTE OVU KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA..

NARUDIA TENA MAWAKALA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU WOWOTE KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA.

MSIOGOPE HATA KIFO.
Usihofu watahudumiwa kilakitu na CCM.
kwani shilingi ngapi,hazina kunafedha zimejaa nyingi sana.
 
Kuna mdau humu kasema watalindwa na wapiga kuwa. Wakitoka na matokeo sio wataelewana tu
MAWAKALA WA CHADEMA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU NA MBINU ZOZOTE OVU KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA..

NARUDIA TENA MAWAKALA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU WOWOTE KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA.

MSIOGOPE HATA KIFO.
 
Mbwembwe za picha ndo kitugani,tukutane jikoni kwenye sanduku la kura terehe 28 October hapo ndo itafahamika mbivu na mbichi.
 
Hivi hizi picha za mikutano ya kampeni ya Chadema za mwaka 2020 ni bora zaidi kuliko 2015? Kazi mnayo wapinzani uchwara! Hata Lissu mwenyewe ameshakata tamaa sema ni vile tu inabidi akamilishe ratiba ya kampeni. Ndio maana Magufuli ameona asipoteze muda kwa kwenda mikoa ambayo tayari kuna kura za kutosha kabla hata ya kampeni. Upinzani huu kuong'o ccm madarakani mimi nitahama nchi kwa mshangao! tarehe 28/0/2020 MAGULI MAPEEEEMA IKULU!
endelea kujitekenya na gari bovu lenu hilo ambalo muda wowote liko gereji
 
Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .

View attachment 1601498View attachment 1601499View attachment 1601500View attachment 1601501View attachment 1601502View attachment 1601503
Hii inaweza kutokea kama 2015, Lowassa kashinda ushindi ukaporwa kwa nguvu na Ccm na hakuna kilichofanyika hata leo!
Nimechukua likizo ya dharura ili niweze kurudi kijijini mimi na familia yangu tukampigie kura diwani, mbunge na rais kutoka chama kinacho-uphold utawala wa sheria, haki,uhuru na umoja.

Tuhakikishiwe hatua stahiki ikiwa yatatokea ya 2015
 
MAWAKALA WA CHADEMA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU NA MBINU ZOZOTE OVU KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA..

NARUDIA TENA MAWAKALA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU WOWOTE KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA.

MSIOGOPE HATA KIFO.
alaf chadema sio kwamba wanaibiwa kura njaa ndo inawaponza mawakala wanauza kura. Mfano mzur 2015 huyo mwang'ombe ali lala mbele bila kulipa mawakala wake jimbo zima alaf hao hao unataka 2020 wakulindie kura zako real??... wakala tangu asubuh hamna hata maji kila kitu anaogongea kwa wakala wa ccm hizo nguvu za kutetea kura za mgombea wake wa chadema anazitoa wap??
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi 1992.
 
Hii inaweza kutokea kama 2015, Lowassa kashinda ushindi ukaporwa kwa nguvu na Ccm na hakuna kilichofanyika hata leo!
Nimechukua likizo ya dharura ili niweze kurudi kijijini mimi na familia yangu tukampigie kura diwani, mbunge na rais kutoka chama kinacho-uphold utawala wa sheria, haki,uhuru na umoja.

Tuhakikishiwe hatua stahiki ikiwa yatatokea ya 2015
Safari hii hatutamwachia Mungu
 
Back
Top Bottom