5G IQ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 102
- 110
tunajulikana ni wazawa wa mbarali-chmala nyumba ya pili kutoka kwa huyo mwang'ombeWatu wasiojulikana waishaanza kujitokeza , karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunajulikana ni wazawa wa mbarali-chmala nyumba ya pili kutoka kwa huyo mwang'ombeWatu wasiojulikana waishaanza kujitokeza , karibu sana
Mwenyezi Mungu akawe kiongozi wenu, awaongoze na kuwasimamia katika kupigania haki na usawa vilivyonajisiwa na watawala waovu wa ccmSafari hii hatutamwachia Mungu
juzi mwenzenu anapigwa na ccm mbele yenu mlifanya nini??? tena nyumbani kwa mgombea wenu ndo mtaweza kulinda kura zinapigiwa kwenye vituo vya ccm???Mwenyezi Mungu akawe kiongozi wenu, awaongoze na kuwasimamia katika kupigania haki na usawa vilivyonajisiwa na watawala waovu wa ccm
MAWAKALA WA CHADEMA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU NA MBINU ZOZOTE OVU KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA..
NARUDIA TENA MAWAKALA CHONDE CHONDE MSIKUBALI UPUMBAVU WOWOTE KWENYE VYUMBA VYA KUHESABIA KURA.
MSIOGOPE HATA KIFO.
uko sahihiKwa jinsi Kampeni zinavyoendelea Tundu Lissu anajizolea asilimia 82%ya kura za Uraisi na asilimia 70%ya Viti vya Ubunge
Jambo la ajabu na lakushangaza ni pale Stephen Masele ati kaambiwa angojee apewe cheo cha huruma
Tunduma ataliwa kavu adharani....juzi wamemueka mgombea wachadema ndan wananch wamevamia kituo palikua padogo!!!Silinde alienda Tunduma baada ya kuona jimbo lake la Momba la moto.
Daah hayo majibu aliyopewa mzee yamempa picha ni namna gani hapendwi. Mzee nae anajua hali ilivyo tight kwake, ni wakina Bia Yetu tu na mataga wengine wanaojifariji tu humuMgonjwa hoi bin taabani. Sasa majibu aliyopewa ndiyo utajua huyu mhutu hapendwi hata chembe.
Mbeya hawatuonei kizembe sabu moto tulonao niwa USA subirin vibe lakeAsante sana mkuu. Mbeya siifahamu kabisa hivyo inanichanganya ingawa napenda siasa zao hawana mapenzi na "mbogamboga" kabisa
Mmebakiza Siku chache za kujifariji hakuna namna mtakikimbia kishindo cha CCM.Mungu ibariki Chadema
Daah hayo majibu aliyopewa mzee yamempa picha ni namna gani hapendwi. Mzee nae anajua hali ilivyo tight kwake, ni wakina Bia Yetu tu na mataga wengine wanaojifariji tu humu
Mgonjwa hoi bin taabani. Sasa majibu aliyopewa ndiyo utajua huyu mhutu hapendwi hata chembe.
Aisee kama magu anasoma hizi twits ni balaa kama ana moyo wa nyama lazima alie machozi mengi, duh!
Mgombea ubunge nyomi sawa na Mgombea Mwenza Urais CCM ?Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
View attachment 1601498View attachment 1601499View attachment 1601500View attachment 1601501View attachment 1601502View attachment 1601503
Changanya hizi na za 2015 ndio ujue hujuiHivi hizi picha za mikutano ya kampeni ya Chadema za mwaka 2020 ni bora zaidi kuliko 2015? Kazi mnayo wapinzani uchwara! Hata Lissu mwenyewe ameshakata tamaa sema ni vile tu inabidi akamilishe ratiba ya kampeni. Ndio maana Magufuli ameona asipoteze muda kwa kwenda mikoa ambayo tayari kuna kura za kutosha kabla hata ya kampeni. Upinzani huu kuong'o ccm madarakani mimi nitahama nchi kwa mshangao! tarehe 28/10/2020 MAGULI MAPEEEEMA IKULU!