Picha: Cheki mikoko ya zari na Diamond, ni shigidaa

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kutwa kuchwa kupitia nyuzi na comments zilizo kosewa, kama ni kibarua amekipata.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Duh mmemuona jamaa wa yanga kapewa kiti tule?
 
Yule Makonda jinsi alivyo lofa, akikuona na gari nzuri lazima akuite Polisi Central. Lofa sana yule
 
Hiv Zari nae ni msanii au ni mfanyabiashara..?
Huwa anafanya mishe gani ambazo madada wa hapa bongo wanashindwa..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…