Picha: Cheki mikoko ya zari na Diamond, ni shigidaa

Picha: Cheki mikoko ya zari na Diamond, ni shigidaa

Hii couple ninachoipendea ni independent, hakuna anayemtegemea mwenzie wote ni ma fighter
65f3392824f2b3b42e787828fa3cf916.jpg
...reseat kwanza upate angalau credit 3 ntakununulia na wewe.,
.chagua kabisa lakini!
 
Duh mmemuona jamaa wa yanga kapewa kiti tule?
 
Yule Makonda jinsi alivyo lofa, akikuona na gari nzuri lazima akuite Polisi Central. Lofa sana yule
 
Hiv Zari nae ni msanii au ni mfanyabiashara..?
Huwa anafanya mishe gani ambazo madada wa hapa bongo wanashindwa..?
 
Back
Top Bottom