mamaudaku
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 706
- 467
Wapo vizur sanaa ila zari anahela sanaa
Angekuwa na hela asingekuwa anapiga picha na magari ya matangazo kule south na kukaa Kwenye apartment usikurupuke kwa usililolijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo vizur sanaa ila zari anahela sanaa
kwan uliitwa humu ?sio lazima kuchangia,waweza kusoma na kusepaSina wivu, akipata au akikosa hainisaidii zaidi ya ninachopata.
Usipanic mdogo wangu, maisha ni kupambana, ipo siku jenga imani piga kazi kila kitu kinawezekana.kwan uliitwa humu ?sio lazima kuchangia,waweza kusoma na kusepa
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Hivi ni kibibi huwa ananifurahishaga
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]😀😀😀😀😀 kutwa kuchwa kupitia nyuzi na comments zilizo kosewa, kama ni kibarua amekipata.
...reseat kwanza upate angalau credit 3 ntakununulia na wewe.,Hii couple ninachoipendea ni independent, hakuna anayemtegemea mwenzie wote ni ma fighter![]()
Ni ya nanisio yao
Hiyo ni Bentley au Chrysler 300 ?Naona shemeji yetu ana Bentley..
Huku brazakaka akipush X6.
...mashaAllah!..wanawake wenzio wangekuwa wanaulizaga swali hilimama ako umemnunulia?