Picha: Daktari gaidi aliyeuawa na Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye ugaidi wa kiislamu huwa hamna cha msomi wala nini, wote lao moja, piga tu.
=====================

An image released by the IDF on June 26, 2024, showing Doctors Without Borders staffer Fadi al-Wadiya in the uniform of the Palestinian Islamic Jihad terror group. (Israel Defense Forces)

View: https://twitter.com/AvichayAdraee/status/1806041719793648020?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1806041719793648020%7Ctwgr%5E06fa8209dc58f942c49acef508c10023a9c6bffe%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fliveblog_entry%2Fidf-releases-images-showing-doctors-without-borders-staffer-in-islamic-jihad-uniform%2F

The IDF releases images showing Palestinian Islamic Jihad rocket expert Fadi al-Wadiya wearing the terror group’s uniform, after Médecins Sans Frontières (MSF), or Doctors Without Borders, named him as a staffer but denied he was a terror operative.

Al-Wadiya was killed in a drone strike in Gaza City yesterday.

The organization then said in a post on X that al-Wadiya was killed while riding his bicycle to the MSF clinic where he worked.

The IDF said he was a prominent member of Islamic Jihad, involved in developing missiles for the terror group, as well as being an electronics and chemistry expert.

Lt. Col. Avichay Adraee, the IDF’s Arabic-language spokesman, says al-Wadiya worked for Islamic Jihad’s rocket manufacturing unit for more than 15 years.

He attaches three images showing al-Wadiya in Islamic Jihad uniform.

Adraee adds that in 2018, the same year that al-Wadiya joined Doctors Without Borders, the latter tried to leave Gaza for Iran to undergo training there with two other terror operatives.
 
Magaidi yanauana.

Kama ilivyo, wanajuana kwa Vilemba.

Tofauti ni Moja. Wanazungumza lugha tofauti. Walakin wote wanauana kwa Jina la Mungu.
 
We shoga kwa hio Rais Samia nayeye anavaa gwanda za jeshi ni mwanajeshi? Kwanini usifikiri kuwa anaweza kuwa alihudhuria course flani akavishwa magwanda ya jeshi sababu yeye doctor.

Kwa hio vijana wanao wavaa magwanda ya jeshi waliopo mitani wote ni wanajeshi? Labda ujinga hu uko bado Africa nenda nchi za Europe au Kiarabu, magwanda ya jeshi yanauzwa madukani 😄

Ujinga ukizidi unakuwa kipofu au kiziwi
 
Alafu mpaka umemuita mwenzako shoga kwa ujinga mtupu hoja yako haina miguu wala mikono ,uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana na una mihemko sana we jamaa ,

Kwamantiki yako huyo dokta alivaa tu gwanda si ndio? Hebu angalia mazingira ya hizo picha kuna mazingira ya kuvaa tu au ni mazingira halisi ya kimimikakati ya kijeshi,

Umesema nchi za Europe nguo za jeshi zinauzwa madukani ni sawa naomba picha tatu tofauti zinazoonyesha watu kuanzia nane wamevaa full battle order za kununua tu madukani.,

Umeongelea Rais Samia kuvaa kombati halisi ni kwa sababu katiba imemruhusu kama amiri jeshi mkuu ni wapi ambapo

Inakubalika daktari akienda semina avae kombati wapi huko dokta wa kiraia akienda anavaa kombati?

Acha kutumia hisia tumia uhalisia
 
Hahaha sikuwai tegemea Kama jamii forum inaweza kua na vilaza kiasi hiki

Imagine Una type Kwa kujiamini Kwa Nini Commander in Chief wa majeshi yote ndani ya nchi anavaa military uniform? Unazani anavaa kama ubishoo?

Nimependa kitu kimoja umeanza na neno "we shoga" ambayo ni good offensive strategy kumtengezea panic na kumtoa mchezoni mtoa mada very good provocative tactic
 
Hahaha kwa hio kuwa commander in chief ambaye hana military background sio ubishoo, hahaha we kweli ni kilaza ulio pitiliza.

Akili zako we unadhani kila kiongozi wa nchi ni lazima avae nguo za kijeshi, asiye vaa nguo zakijeshi hafai kuwa commander in chief, hebu nionyeshe wapi US presdent kavaa nguo za kijeshi.
 
Alafu mpaka umemuita mwenzako shoga kwa ujinga mtupu hoja yako haina miguu wala mikono ,uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana na una mihemko sana we jamaa ,

Kwamantiki yako huyo dokta alivaa tu gwanda si ndio? Hebu angalia mazingira ya hizo picha kuna mazingira ya kuvaa tu au ni mazingira halisi ya kimimikakati ya kijeshi,

Umesema nchi za Europe nguo za jeshi zinauzwa madukani ni sawa naomba picha tatu tofauti zinazoonyesha watu kuanzia nane wamevaa full battle order za kununua tu madukani.,

Umeongelea Rais Samia kuvaa kombati halisi ni kwa sababu katiba imemruhusu kama amiri jeshi mkuu ni wapi ambapo

Inakubalika daktari akienda semina avae kombati wapi huko dokta wa kiraia akienda anavaa kombati?

Acha kutumia hisia tumia uhalisia
Hahaha huyo ni shoga sababu daima anatuletea ushoga humu.

Sa mimi nakuliza we unaye jiona una akili na unajua kuchambua tija hebu niambie ikiwa huyo doctor kahudhuria semina kwenye hospital za kijeshi akambiwa sheria ya pale lazima uvae magwanda ya jeshi akatae?

Wazungu wanakamsemo kanasema it depends on what they’re doing in the uniform. Just wearing it alone is not illegal.

Kwanza jibuni swali hizo uniform ni za jeshi lipi hahaha, Hamasi toka lini ana uniform kama hizo? Mfano kweli ni za Hamasi ina mana Hamasi ana miltary college sio kwenye tunnels au uwongo hahaha.

Je una hakika gani katika hizo picture hizo picture sio fake wamebadinka kichwa cha huyo jamaa ili aonekane askari., afu lini Hamasi wana vaa vile hilo ndo swali
ikiwa kwenye vita havai hayo magwanda akavae watu wapo kwenye class 😆
 
Hawa mashoga wakikujibu hayo maswali nistue nimejibanza pembeni nakunywa kahawa na Kashata za Nazi.
 
Hahaha kwa hio kuwa commander in chief ambaye hana military background sio ubishoo, hahaha we kweli ni kilaza ulio pitiliza.

Akili zako we unadhani kila kiongozi wa nchi ni lazima avae nguo za kijeshi, asiye vaa nguo zakijeshi hafai kuwa commander in chief, hebu nionyeshe wapi US presdent kavaa nguo za kijeshi.
main-qimg-3b42bb25ea597dd688fdec909ac6f1e0-lq.jpeg
haya umetaka ya Rais wa Marekani hiyo hapo
 
Hahaha huyo ni shoga sababu daima anatuletea ushoga humu.

Sa mimi nakuliza we unaye jiona una akili na unajua kuchambua tija hebu niambie ikiwa huyo doctor kahudhuria semina kwenye hospital za kijeshi akambiwa sheria ya pale lazima uvae magwanda ya jeshi akatae?

Wazungu wanakamsemo kanasema it depends on what they’re doing in the uniform. Just wearing it alone is not illegal.

Kwanza jibuni swali hizo uniform ni za jeshi lipi hahaha, Hamasi toka lini ana uniform kama hizo? Mfano kweli ni za Hamasi ina mana Hamasi ana miltary college sio kwenye tunnels au uwongo hahaha.

Je una hakika gani katika hizo picture hizo picture sio fake wamebadinka kichwa cha huyo jamaa ili aonekane askari., afu lini Hamasi wana vaa vile hilo ndo swali
ikiwa kwenye vita havai hayo magwanda akavae watu wapo kwenye class 😆
We jamaa hapo unajiona umetoa hojaa na ikiwa ikiwa zako hizo,

Hivi kweli kisa ni college ya kijeshi hata aje daktari raia ndio apewe kombati ? Hebu tupe mfano wa hata chuo kimoja tu cha sayansi tiba ya jeshi kinachofanya hivyo,
pili mara nyingi militiaa hawa wa kidini au kiitikadi hawana sare maalumu sana unaweza kuta wing hii ina Cbt dress ya aina fulani fulani lakini haimaanishi kuwa ni tofauti na unaowajua wewe,

Lakini pia kwanini unataka utuaminishe kuwa hizo picha ni fake ? Ukitaka utuamishe hizo picha ni fake maana yake utazikataa mwenyewe hoja zako zote za nyuma kuwa katembelea college ya jeshi mana ni fake tu hizo picha,

Ninachoona kwako wewe una mlengo fulani hivi ambao unakufanya uwe mshabiki kuliko mhalisia
 
Kwanza jibuni swali hizo uniform ni za jeshi lipi hahaha, Hamasi toka lini ana uniform kama hizo
Ndugu yangu tutaelewana tu na ndio maana nikasema unaendeshwa sana na hisia kuliko uhalisia kuhusu uniform mwanzo kabisa wa habari si imeandikwa wazi kabisa kuwa ni wapiganaji wa kundi gani au haujaona hapo? Chukua hii hapo palestina kundi linalojulikana sana ni Hamas ila yapo makundi madogo madogo mengi tu ambayo mengine yana muunganiko na hao Hamas .

Sijajua kwanini wewe umekimbilia sana kuwa jamaa ni Hamas na hukuwaza makundi mengine kama hilo la Islamic Jihad ambalo ndio ametokea huyo doc hapo.,
 
View attachment 3027799 haya umetaka ya Rais wa Marekani hiyo hapo
Hahaha umelewa nilicho sema au una dandia train kwa mbele, huyu alikuwa mwanajeshi tena pilot .

George W. Bush joined the 147th Fighter-Interceptor Group of the Texas Air National Guard on May 27, 1968, during the Vietnam War. He committed to serve until May 26, 1974, with two years on active duty while training to fly and four years on part-time duty.

Usiwe unarukia kujibu kujifanya mjuzi wa kujibu nipe picture za Trump, Bill Clinton. Obama wamevaa nguo za jeshi.

Au hao walikuwa sio macommander in chief 😄
 
Naona adiosamigo kalala mbele🤣🤣🤣🤣
Huyo anakimbilia.kijuibu maswali afu hajui nimeuliza nini, tulikuwa tunabishana kuvaa nguo za jeshi sio lazima uwe mwanajeshi, nikatoa mfano wa Rais samia, akajibu yeye ni commander in chief.

Nikamwambia kuwa commander in chief sio lazima uvae uniform hebu nionyeshe Rais wa America anaye vaa uniform, kaenda kutuletea mtu alikuwa pilot yani yeye mwenyewe kajikuta.mjinga, huyo aliye tuwekea alikuwa pilot tena askari hata akivaa sawa, ni askari je Rais Obama, Clinton, Trump na Biden sio ma commander in chief? Ni G W Bush tu ndio Commander in chief 😄
 
Back
Top Bottom