Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We kwanza ni jibu hakuna college za kijeshi unafanya course umevaa civilian dress?We jamaa hapo unajiona umetoa hojaa na ikiwa ikiwa zako hizo,
Hivi kweli kisa ni college ya kijeshi hata aje daktari raia ndio apewe kombati ? Hebu tupe mfano wa hata chuo kimoja tu cha sayansi tiba ya jeshi kinachofanya hivyo,
pili mara nyingi militiaa hawa wa kidini au kiitikadi hawana sare maalumu sana unaweza kuta wing hii ina Cbt dress ya aina fulani fulani lakini haimaanishi kuwa ni tofauti na unaowajua wewe,
Lakini pia kwanini unataka utuaminishe kuwa hizo picha ni fake ? Ukitaka utuamishe hizo picha ni fake maana yake utazikataa mwenyewe hoja zako zote za nyuma kuwa katembelea college ya jeshi mana ni fake tu hizo picha,
Ninachoona kwako wewe una mlengo fulani hivi ambao unakufanya uwe mshabiki kuliko mhalisia
Je mfano mimi nivae nguo za jeshi ndio nimekuwa mwanajeshi.
Kuna wengine wanapenda kuvaa nguo za jeshi toka wako shule za msingi. ndio wanajeshi.
Au doctor nilazime avae koti lyeupe ndio awe dr akivaa la kijeshi kawa askari sio doctor😄
Mfano mimi nipige picture na wanajeshi wa JWTZ, na ndugu yangu ni mwanajeshi kaniambia nipige nao picture wenzake askari, nivae magwanda ya kaka yangu, afu picture isambae watu watasema mimi ni askari wa JWTZ.
