Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Hongera Rais Samia, Hongera Kafulila Hongera team PPP Centre
TobaaaaNdio ujinga gani huo mafuta 4108 nauli zimepanda mnaacha kuongea vitu vya maana mnaongea kushika namba 9?
Acha akili mbovu.Ameifikisha wakati watu wote wakiwa wamelala au wanaota moto?Au umeamua kujitukuza na kujifikisha viwango vya Yesu?
Ukali wa maisha hauwezi kuisha leo wala keshoInatusaidiaje kupunguza ukali wa maisha,
Hongereni sana
Safi sana Tanzania