Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
usiseme unasikia kama kuuma yai ni tatizo wala sishangai sio lugha mama kwake. lakini ingekuwa kiswahili cha sumbua mie ningesema anamatatizo. jamani hata mbuyu unaanza kama mchicha na kuuma yai sana sio ujanja, ujanja ni kumake more money.
hahhaa halafu mbona umepotea wewe
Nililazwa kutokana na kukupenda wewe mpaka kula nilikuwa sili, kukuwaza tu.
Mrembo niko hapa.......daktari wa maradhi yanayokusumbua
haya..tunangoja hizo apdates,ila wcb mnahitaji ticha wa ngeli!more apdates to come......
WCB FOR LIFE HUNNY
View attachment 121365
View attachment 121366
View attachment 121365
Pamoja na mengine,swali kubwa aliloulizwa boss/WCB president..NI
NI KWA NINI NI MWANAMZIKI ANAYEONGOZA KWA KUUZA CALLER TONES IN EAST AFRICA??hatukujua walifaham vip hizo data but jibu pekee alilojibu diamond ni
"I just dont know only God knows the Secret Behind..."
more apdates to come......kuna mambo makubwa sana yanatalajiwa kufanywa na Diamond
WCB FOR LIFE HUNNY
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
haaaahaa mbavu zng mie kwn haujui anagonga yai lile "wcb for life babeee hollaaaa" baada ya hapo funga mahojiano kwa kucheza nanlii hii hapa ngololoo hiyo2
mie nasikia kimombochampa tabu hata twit nyingine huwa anaandikiwa na penseli
ngoja hiyo tuje tuone
kwi kwi kwi @macdonaldjr bana tusijeambiwa tunawivu bure.
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
Kweli DEMBA. Hata mimi nina mawazo hayo hayo. Lazima haya maneno yafuatayo yalitumika sana: yes, of course! yaa.......without any problem, .......at least.........the music of East Africa.........nani hiiiii........hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
Si wote but 80% ya wabongo tunamadharau sana na ushamba.. tunavyomponda diamond tunakosea cse alipotoka na anapokwenda ni pakubwa hata kama kingereza chake kibovu but anajifunza kingereza kujua sio kwamba ndio uko smart ni lugha tu kama kiswahili wangapi wanaongea kingereza na awana future yeyote?? Wangapi mna maendeleo kama ya diamond na vingereza vyenu vizuri?? Naskitika na ni aibu tunawawekea fitina na majungu mastaa wetu aibu sana tuwatie moyo na tuwakubali.
Nampongeza Dogo anaeleta taarifa Diamond pamoja na madhaifu yake,endelea kumtangaza na huu ni mtandao wa watanzania