Picha:diamond akifanyiwa mahojiano na vituo mbali mbali vya tv Nigeria

Picha:diamond akifanyiwa mahojiano na vituo mbali mbali vya tv Nigeria

usiseme unasikia kama kuuma yai ni tatizo wala sishangai sio lugha mama kwake. lakini ingekuwa kiswahili cha sumbua mie ningesema anamatatizo. jamani hata mbuyu unaanza kama mchicha na kuuma yai sana sio ujanja, ujanja ni kumake more money.

haya mkuu.......mi nasubiri kuisikia tu......
 
Dogo anatusua tu,wabongo tunawaza kiingereza wakati cabo snoop kaja hapa hata hyo lugha ya malkia haijui na watu tukaruka kwanja kiroho safi

He is not ma fav artist though
 
View attachment 121365
View attachment 121366
View attachment 121365
Pamoja na mengine,swali kubwa aliloulizwa boss/WCB president..NI
NI KWA NINI NI MWANAMZIKI ANAYEONGOZA KWA KUUZA CALLER TONES IN EAST AFRICA??hatukujua walifaham vip hizo data but jibu pekee alilojibu diamond ni
"I just dont know only God knows the Secret Behind..."
more apdates to come......kuna mambo makubwa sana yanatalajiwa kufanywa na Diamond
WCB FOR LIFE HUNNY

Mkuu mbona unatudanganya kweupe? Anayeongoza kuuza Caller Tones ni Rose Mhando na sio Diamond.
 
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.

Haaaahaa mbavu zng mie kwn haujui anagonga yai lile "WCB for life babeee hollaaaa" baada ya hapo funga mahojiano kwa kucheza nanlii hii hapa ngololoo hiyo2
 
haaaahaa mbavu zng mie kwn haujui anagonga yai lile "wcb for life babeee hollaaaa" baada ya hapo funga mahojiano kwa kucheza nanlii hii hapa ngololoo hiyo2

kwi kwi kwi @macdonaldjr bana tusijeambiwa tunawivu bure.
 
mie nasikia kimombochampa tabu hata twit nyingine huwa anaandikiwa na penseli

ngoja hiyo tuje tuone

mwenyewe alishawahi kusemaga kwenye interview moja kwamba anamshukuru wema kwa kumfundisha kingledha.
 
Si wote but 80% ya wabongo tunamadharau sana na ushamba.. tunavyomponda diamond tunakosea cse alipotoka na anapokwenda ni pakubwa hata kama kingereza chake kibovu but anajifunza kingereza kujua sio kwamba ndio uko smart ni lugha tu kama kiswahili wangapi wanaongea kingereza na awana future yeyote?? Wangapi mna maendeleo kama ya diamond na vingereza vyenu vizuri?? Naskitika na ni aibu tunawawekea fitina na majungu mastaa wetu aibu sana tuwatie moyo na tuwakubali.
 
hongera zake, ila i can't imagine hali ilivyokuwa kama lugha iliyotumika ilikuwa kiinglish.
Kweli DEMBA. Hata mimi nina mawazo hayo hayo. Lazima haya maneno yafuatayo yalitumika sana: yes, of course! yaa.......without any problem, .......at least.........the music of East Africa.........nani hiiiii........

Ni vizuri iwapo wanamuziki wetu wakajiandikisha kujifunza lugha muhimu duniani: English, French, Mandarin Chinese,na Kijerumani.
 
Last edited by a moderator:
Si wote but 80% ya wabongo tunamadharau sana na ushamba.. tunavyomponda diamond tunakosea cse alipotoka na anapokwenda ni pakubwa hata kama kingereza chake kibovu but anajifunza kingereza kujua sio kwamba ndio uko smart ni lugha tu kama kiswahili wangapi wanaongea kingereza na awana future yeyote?? Wangapi mna maendeleo kama ya diamond na vingereza vyenu vizuri?? Naskitika na ni aibu tunawawekea fitina na majungu mastaa wetu aibu sana tuwatie moyo na tuwakubali.

Hujazuiwa kumkubali mtu, tuliza wowowo lako chapa mwendo angalia gaguro lisikushuke.
 
Nampongeza Dogo anaeleta taarifa Diamond pamoja na madhaifu yake,endelea kumtangaza na huu ni mtandao wa watanzania
 
Nampongeza Dogo anaeleta taarifa Diamond pamoja na madhaifu yake,endelea kumtangaza na huu ni mtandao wa watanzania

Mwambie alete audio au video clip ya hiyo interview. Picha mnato hazina mashiko hapa otherwise thread ipelekwe jukwaa la picha.
 
We matola maku wewe kuwa na adabu kama kunduuu linawasha njoo nikufireeee
 
Back
Top Bottom