Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
usiseme unasikia kama kuuma yai ni tatizo wala sishangai sio lugha mama kwake. lakini ingekuwa kiswahili cha sumbua mie ningesema anamatatizo. jamani hata mbuyu unaanza kama mchicha na kuuma yai sana sio ujanja, ujanja ni kumake more money.
haya mkuu.......mi nasubiri kuisikia tu......