Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda [emoji1254], Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru baba T (Diamond) kwa kumuwezesha kuipata gari hiyo mpya.

“ Sante Baba T for the Top up “ aliandika zari kwenye insta story yake .

Mmh shoga angu nae anapenda drama ndo kutuambia anapendwa sana au mxieew , ila hongera mwenzangu sijui unarogaga wapi loh

 
Hiyo caption haionesh baba t kanunua hilo gari. Wala gari lenyewe halioneshi kuwa ni mali ya zari hapo naona kaweka tako tu kuwarusha roho akina warumi

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona cocastic na @victorie walituambia Domo kwa sasa amefulia, hana tena pesa za white flour [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol wee bestie hebu nipishe huko nawee mxieeeeew, haya onesha hyo caption? Khaaaaaah
 
Hizi kiki ipo siku domo ata"rwafi" ili akiki,tupo na shishi na uchebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…