warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda [emoji1254], Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru baba T (Diamond) kwa kumuwezesha kuipata gari hiyo mpya.
“ Sante Baba T for the Top up “ aliandika zari kwenye insta story yake .
Mmh shoga angu nae anapenda drama ndo kutuambia anapendwa sana au mxieew , ila hongera mwenzangu sijui unarogaga wapi loh
“ Sante Baba T for the Top up “ aliandika zari kwenye insta story yake .
Mmh shoga angu nae anapenda drama ndo kutuambia anapendwa sana au mxieew , ila hongera mwenzangu sijui unarogaga wapi loh