Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio shida ya maEx zetu wa kiafrika, na hapo ukijiongeza unapasha kiporo saaafi kabisa.Zari nae akiona dai yupo single ndio anaelewana nae dai akipata demu mpya anachukia na mawasiliano yanakata
Si hata ungekuwa nayo hiyo dola mia ndo usemeIt depends mama na other factors..
Sasa wewe hapo umejichokea,umri umeenda Nan akupe dola Mia? Me hata elfu 20 yenyewe kukupa ningumu
Nnayo njoo tuzungumze. Ntakupa na ada pia ya mtotoSi hata ungekuwa nayo hiyo dola mia ndo useme
Ahahaaaaah!!!Wiki mbili hizi mbaya sana kwa domo ,katoa audio tu msiba huoo ukateka insta. Katoa video shishi na uchebe wake wamejaa tele insta.
Kapewa kiki south bado watu hawashtukidaah
Ahahaaaaah!!!
Hao WCB wameshashindikana aisee. Pamoja na Shishi na Uchebe kujaa huko insta, video ya Amaboko ina views milioni 1 ndani ya siku moja.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol wee bestie hebu nipishe huko nawee mxieeeeew, haya onesha hyo caption? Khaaaaaah
Siku nyingi sijamuona insta, sijui kafia wapiHivi Mati kiboko yao aliendang wap
Sema weee mwenzangu lolUsiamini showoff za instagram. Ukute amekodi baadae atalirudisha. Angepost card ya gari walau,walau.
Kiruuuuuuuuuuuh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, hivi una mke na watoto kabisa? Dunia ina maajabu mengi sana.Ndio maana niliandika kamuwezesha /support he didn’t fully paid for it ... hyo heading ya kimbea tu[emoji23]
😃😃K inalipa sana
Zina ac na dhahabuWanawake wengine hizo k zao sijui wanaweka nini. Mbongo ukimwambia akupe dola mia ndo adios amigo
Utakufa na umaskini wakoUsiamini showoff za instagram. Ukute amekodi baadae atalirudisha. Angepost card ya gari walau,walau.
Ninaishi na nitaendelea kuishi na utajiri wangu.Utakufa na umaskini wako
😂😂😂 Mmbea akimsuta mbea mwingine.....Wewe ndo tunakushangaa mwenzetu kwan umeitwa huku? Unapenda sana umbea Ndio maana upo humu , Sasa Sijui unajishaua nn baba mtu mzima kuendekeza umbea mxiee hovyo