Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Ila huyu jamaa mbahili hatari,wema atamkumbuka sana clement,kwa hustle za diamond halafu from no where amuhonge wema v8? Thubutuu..thumb up brother,anachapa anakimbia zake
 
mbona kasema Baby Diamond atamnunulia hata week mbili hazitoisha
 
kwa diamond niliwahi kusikiaga japokuwa sikuwa na uhakika eti alimnunuliaga penny gari la kwendea clinic kipindi kile ana mimba,from hyo tetesi ambayo sikuwa na uhakika nayo sikuwahi kusikia au kuona diamond kahonga mwanamke gari,achilia mbali kumpangishia nyumba,uzuri kaka diamond hanaga siri kabisa,ya bayana anaficha ya siri anatoa...let's watch the scene labda wamekuja na pen I jipya now...
 
Watu wanakufa njaa na wengine wanakazana kununua migari kila siku na kutanua na videmu!! Msanii nliyetokea mwamini ni michael jackson tu hawa wengine hamna lolote....
 
Ningefurah sana kumuona kahamia kwenye mjengo wake badala ya kuangaika na ma v8,aka ajue kabisa Elimu hana,na hizo pesa ni za msimu tu kama anabisha amuulize Mr nice,huu ni mda wake itafika kesho ikawa zamu ya mavoko
 
Hivi gari yenye namba T....BXF ni gari jipya??? Labda mie sijui maana ya gari jipya nifafanulieni
 
  • Thanks
Reactions: Sal
fake shoes, fake close fake everything hahahah yeezy 2 red ctober not release yet .. stop wore fake stuff
 
Tatizo la wa Tz chuki binafsi, wivu na mengine vimetutawala. Huwezi kusifia mtu akifanya kitu kizuri au akiwa na mafanikio katika maisha. Kwani mkifurahia mTz mwenzenu kijana mdogo kajitahidi jamani kuna kosa. Hapa nikisoma nadhani ni mmoja au wawili wame appreciate jitihada za Naseeb, wengine wote mmeponda wakati hata pikipiki hamna... dah.... nimechoka kabisa. Eti BXF ni gari mpya? wewe la kwako lina namba gani kama sio AAA.... Acheni hizo....
Mpeni Diamond sifa zake, anajitahidi sana. Sidhani kama kuna msanii Tz anayefanya vizuri kama yeye. Eti Mr. Nice yuko wapi??? Mr. Nice wala hakufika alipo Diamond. Mwacheni kijana wa watu, hata kama hana elimu lakini ana pesa, nyie mliosoma mmefanya nini, nani hata anawajua Tanzania hii....
 
Somehow
 
warumi huyu jamaa hata mie sijawah msikia kamnunuliaa kitu demu wakee,hata Penny alikiri tu wanazimika na umaarufu wema atasubiri mnoo hivyo vifaa halafu wema anashindwa kununua vifaa vyake heeee kumbe kila kitu kuhongwaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom