Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

Tatizo la wa Tz chuki binafsi, wivu na mengine vimetutawala. Huwezi kusifia mtu akifanya kitu kizuri au akiwa na mafanikio katika maisha. Kwani mkifurahia mTz mwenzenu kijana mdogo kajitahidi jamani kuna kosa. Hapa nikisoma nadhani ni mmoja au wawili wame appreciate jitihada za Naseeb, wengine wote mmeponda wakati hata pikipiki hamna... dah.... nimechoka kabisa. Eti BXF ni gari mpya? wewe la kwako lina namba gani kama sio AAA.... Acheni hizo....
Mpeni Diamond sifa zake, anajitahidi sana. Sidhani kama kuna msanii Tz anayefanya vizuri kama yeye. Eti Mr. Nice yuko wapi??? Mr. Nice wala hakufika alipo Diamond. Mwacheni kijana wa watu, hata kama hana elimu lakini ana pesa, nyie mliosoma mmefanya nini, nani hata anawajua Tanzania hii....

Watulie tu, maana kuwa kama yeye hawawezi na huenda watu wanaowaheshimu wao nao pia wanapenda wangalikuwa na mafanikio kama diamond na pia kuna vitu vitatu, hupaswi kuvikosa walau kimoja wapo 1. Elimu ukikosa hiyo 2.Pesa hata hii nayo ikikupita pembeni basi 3. Safiri.

Diamond ukisema hana elimu basi ana hivyo viwili vilivyobaki, sasa wewe jipe msongo wa mawazo kwa kung'ang'ania kumfananisha na mr nice ili hali yeye snaumiza kichwa ni vipi akufanye uzidi kuzungumzia mafanikio yake.
 
Du wabongo noma hivi nikinunuwa shati langu lamtumba nikalipenda na kulivaa utaniamnia nimetokea na nguo ya zamani jb hapana ni mpya kwangu diamond kaza buti elimu sio tatizo upeo na akili ndio humuendeleza mtu hao wanaokuponda inawezekana hawana jata mchina wa tairi2 ama mshikaki ulopotoka na ulopo sasa haya ungenunuwa noah kama yangu ungesifia kwani hapo awali kabla ya mziki hukuwa nayo na watutajie msanii wa kibongo ambao wamejitaidi kama wewe ongera plitnum
 
mkuu v8 sio gar ya kitoto kuna moja used bforward inaenda mpaka USD 90000 piga hesabu ya mpya.......halafu dogo mshamba sn hzo gar znawapendeza wazto wenye heshima zao na wavaa suit sasa yeye umbaumbau huo na hlo gar wapi na wapi? jamaa hana washauri kabisa

Mkuu kuna Range Sport hadi USD 150,000 google new model HS Range!Ni soo kaka
 
That's a good USEd car

jamani watanzania, huu ni wakati wa kuwapandisha chati hata wasanii wengine kama akina Rich mavoko,ommy,young killer,dogo asley n.k sio kila siku wema,diamond! Mimi si msanii lakini hii inawavunja moyo wale wengine wanajiona kama wanakandiwa na media. Maana wengi wanalalama kwamba media ndizo zinambeba diamond na si kazi yake tu. Hata hivyo alipofikia haina haja ya kumbeba tena kwa media muache atembee mwenyewe tu. Wabebeni wengine walio chini nao wapande.
 
Kuna wakati ukimpa mtu hongera kwa hali aliyofikia ni nzuri kiafya kiroho na mwili pia, watanzania tumekuwa watu wa kuponda sana, hatuna jema mbele yetu. Wengine wanasema hela za msimu, wengine hajasoma kwa nini watz? Anayetoa riziki ni Mungu msisahau hilo. Tujaribu kuwa positive zaidi itatupa nguvu ya kuwa watafutaji.
 
Ya kheri yawe juu yako Diamond,hongera

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kumiliki aina ya gari Ni mapenzi bibafsi...so usimlazimishe mtu kununua kitu ukipendacho wewe wakati yeye Ndo mtumiaji. Halafu wewe hautohusika hata kuliosha. .. ... Nia madhubuti ya kununua v8 anaijua yeye, ila sio kama hakuziona sports, uqezo anao hat a Leo wa kupata hizo sports car tano jwa pamoja. Coz hats altezza Ni sports car.... Mpo hapo????? Tena lazima huyo mzee wa Masan I alilia halo, kijana mdogo akamvua. Safi sana. Ni gari ya heshima kaka, Ndo maana viongozi hawatembelei vogue na range zingine.... "Nimechangia mada"
 
BXF ni gari ya mwaka juzi........

Upo sahihi kabisa hiyo gari kamvua mtu... Lazima tukubali kuwa diamond Bado hajafikia uwezo wa kuagiza huyo mnyama...... namba mpya ss hv ni CTA-C Hiyo ni BXF
 
Upo sahihi kabisa hiyo gari kamvua mtu... Lazima tukubali kuwa diamond Bado hajafikia uwezo wa kuagiza huyo mnyama...... namba mpya ss hv ni CTA-C Hiyo ni BXF
kujua siyo kumiliki!utajua namba zote mpya za magari na kubaki kuziona wengine wanamiliki...wewe unadhani huyo mnyama kumvua mtu ni shughuli ndogo?!...tatizo watu wanasahau umri wa dogo!wengi humu kama siyo wao basi baba zao salary slips zao zimejaa makato ya pesa walizokopa benki ili wanunue vigari vya milioni kumi na kitu!....
 
Mbona plate no zimefichwa hiyo naona cif from Dubai
 
Back
Top Bottom