Tatizo la wa Tz chuki binafsi, wivu na mengine vimetutawala. Huwezi kusifia mtu akifanya kitu kizuri au akiwa na mafanikio katika maisha. Kwani mkifurahia mTz mwenzenu kijana mdogo kajitahidi jamani kuna kosa. Hapa nikisoma nadhani ni mmoja au wawili wame appreciate jitihada za Naseeb, wengine wote mmeponda wakati hata pikipiki hamna... dah.... nimechoka kabisa. Eti BXF ni gari mpya? wewe la kwako lina namba gani kama sio AAA.... Acheni hizo....
Mpeni Diamond sifa zake, anajitahidi sana. Sidhani kama kuna msanii Tz anayefanya vizuri kama yeye. Eti Mr. Nice yuko wapi??? Mr. Nice wala hakufika alipo Diamond. Mwacheni kijana wa watu, hata kama hana elimu lakini ana pesa, nyie mliosoma mmefanya nini, nani hata anawajua Tanzania hii....