hilo gar mpaka mmiliki namjua sema sipendi kujadili personal life ya mtu ktk uhalisia huyo dogo hela ya kununua na kutunza land cruiser v8 hana ni wavivu wa kufikiri tu ndo wanaweza kuamini
BXF ni gari ya mwaka juzi........
Does it matter?
fake shoes, fake close fake everything hahahah yeezy 2 red ctober not release yet .. stop wore fake stuff
Bas tuseme kanunua gari ya zamani..vipi imepunguza chochote?
Ningefurah sana kumuona kahamia kwenye mjengo wake badala ya kuangaika na ma v8,aka ajue kabisa Elimu hana,na hizo pesa ni za msimu tu kama anabisha amuulize Mr nice,huu ni mda wake itafika kesho ikawa zamu ya mavoko
Wenye elimu ndio hawafilIsiki ama hawawi masikini kamwe! Naomba kufahamu
Wamshauri tu...superstars huwa wanakuwa na sports car sio gari za aina hizo, land cruiser sio gari za super stars..apate ushauri au basi aangalie super stars wenzake duniani yawezekana hajui
Tatizo la wa Tz chuki binafsi, wivu na mengine vimetutawala. Huwezi kusifia mtu akifanya kitu kizuri au akiwa na mafanikio katika maisha. Kwani mkifurahia mTz mwenzenu kijana mdogo kajitahidi jamani kuna kosa. Hapa nikisoma nadhani ni mmoja au wawili wame appreciate jitihada za Naseeb, wengine wote mmeponda wakati hata pikipiki hamna... dah.... nimechoka kabisa. Eti BXF ni gari mpya? wewe la kwako lina namba gani kama sio AAA.... Acheni hizo....
Mpeni Diamond sifa zake, anajitahidi sana. Sidhani kama kuna msanii Tz anayefanya vizuri kama yeye. Eti Mr. Nice yuko wapi??? Mr. Nice wala hakufika alipo Diamond. Mwacheni kijana wa watu, hata kama hana elimu lakini ana pesa, nyie mliosoma mmefanya nini, nani hata anawajua Tanzania hii....
mkuu v8 sio gar ya kitoto kuna moja used bforward inaenda mpaka USD 90000 piga hesabu ya mpya.......halafu dogo mshamba sn hzo gar znawapendeza wazto wenye heshima zao na wavaa suit sasa yeye umbaumbau huo na hlo gar wapi na wapi? jamaa hana washauri kabisaV8 ni bei gani kaka.....
Swali zuri sana,usiku mwema
Wamshauri tu...superstars huwa wanakuwa na sports car sio gari za aina hizo, land cruiser sio gari za super stars..apate ushauri au basi aangalie super stars wenzake duniani yawezekana hajui
mkuu warumi ushamjua mmiliki?
Mbona gari ya kawaida sana. Sikutegemea kwa msanii mkubwa kama hyo kutembea na gari kama hiyo! Yako magari mazuri ya kifahari angeweza kununua akaonekana mtu kati ya watu