PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

Umekubali kuwa dekio, umekubali kuishi ndani ya mipango ya mtu, umekubali kuwa mtu wa pili, hauna tofauti na takataka, umekubali kulisaliti kundi kubwa la watanzania masikini wanao ishi maisha ambayo hawana uhakika na kesho yao. Amka mtu mweusi nchi ni yetu tufaidike sote toa hilo furushi la mavi walilo kuwekea kichwani pambana wakurudishie ubongo wako wa asili.
 
Kikwete familia ya Chief kihistoria Chief walitumika kuuza raia wenzao kuwa watumwa.
 
Huyo dogo ni shortie kama Chura Kiziwi, dah......! No wonderπŸ€”
 
Fanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujitoa utaweza kuishi maisha mazuri kabisa uyatakayo. Acha uvivu malalamiko wakati wote .acha kupoteza muda kwa porojo na umbeya usio na msingi. Umaskini wako utaondolewa kwa juhudi za mikono yako.
 
Makonda alimtaja kwenye watuhumiwa wa ngada una comment gani ndugu yangu mtanzania
 
Huyo Ridhwan ndio Mbwa wa Samiah ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…