JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,995
- 2,047
Naisubiria kwa hamu Lucas.Subiri nawe ifike zamu yako

Waume zako hao bibi LucasNdugu zangu Watanzania,
Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja.
Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania.
Unaweza kuona tabasamu ,cheko na nyuso za furaha kwa mashujaa wetu hawa hapa Nchini. Hapo ni Muunganiko wa manguli,majabali na majasusi wa kisiasa wamekutana kwa pamoja . Huku kijana kwa unyenyekevu mkubwa akitambulishwa .
Siasa raha sana ukiijua. Mungu akikupatia Kibali hakuna kitu kitashindikana hapa Duniani. ukitaka kuomba jambo lolote lile hapa Duniani kutoka kwa Mungu. basi wewe Omba tu Neema ya kupewa Kibali. Kwa hakika utakuwa umepata kila kitu utakacho hapa Duniani. Kuna watu leo hii pamoja na kuhangaika na kupigana kwa kila njia kupata uongozi fulani lakini wameshindwa kufanikiwa kwa sababu ya kukosa kibali.
Lakini kuna watu wao ni Neema tu Mwanzo mwisho wa Maisha yao. wengine mpaka wanaota Mvi kichwa kizima utafikiri wamemwagiwa unga wa sembe kichwani au wamedondokea kwenye ndoo ya unga lakini unakuta bado hawajawahi kupata nafasi yoyote ile ya uongozi iwe ya kuchaguliwa au kuteuliwa.
Ndugu zangu Watanzania Ombeni kwanza vibali na siyo madaraka au vyeo. Maana kama huna kibali hata ukipita au kupata kijinafasi fulani unashangaa utafikiri umepakwa mikosi usoni .maana unajikuta ni mtu wa kukumbana na misukosuko na mabalaa ya kila aina.
Vijana wa Nchi hii pia tuna ya kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hususan juu ya unyenyekevu,utulivu na kujishusha. Embu fikiria pamoja na kuwa Baba yake ni mstaafu na yeye ni mtoto wa Rais mstaafu lakini husikia akiongea maneno ya shombo,dharau,kiburi ,kejeri au kumdhalilisha mtu. Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete siyo mtu wa kujikweza wala majivuno. Hana makuu wala makidai huyu mtu. Ni mtu wa watu,ni mtu wa kucheka na watu ,ni mtu wa kuzungumza na kila mtu bila ubaguzi.
Ni mwenye moyo wa upendo ,huruma na ukarimu wa hali ya juu sana. Ni msikivu kwa kila mtu. Na mwenye kumjali kila mtu. Kwake uongozi ni utumishi kwa watu na kwake cheo ni dhamana na ni mambo ya kupita tu.
Sasa angekuwa ndio mwingine amezaliwa kwenye Familia hiyo angetamani watu wambebe mgongoni huku akiwa anaongea akiwa kajibetua mdomo na kubana pua utafikiri ameshikwa na mafua. Angetaka kila mtu amuabudu na kumsujudia. Lakini huyu Mheshimiwa hana mambo hayo.
Sisi maskini na tuliokulia kwenye familia za maisha ya hapa na pale ya kuunga unga kwa gundi ndio tuna matatizo sana tukipata madaraka.tunakuwa makatili, roho mbaya kama magaidi ya Boko haramu ,wajivuni,wenye visasi ,chuki na kutaka kuabudiwa pamoja na kuleta maumivu kwa watu badala ya matumaini na nuru kwa watu. Inakuwa kama ule msemo usemao maskini akipata ....View attachment 3377090
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabuWaume zako hao bibi Lucas
Sawa nashukuruJamaa we kiazi sana aisee
Kwamba hamfahamuNdugu zangu Watanzania,

Chuki binafsi zinakutesa sana WeweHuyo mwanaye kazeeka hatari. Nadhani ni kwasabb ya ngada anazopiga.
Huyu ndiye alimharibu Ray C
Tatizo lako wewe umetoka huko maporini Mbozi ukaja mjini ukafikia uswahilini na kazi yako ni uchawa. Wenzako sisi tunaishi nao hawa watu, tunawajua vizuriChuki binafsi zinakutesa sana Wewe
Lucas Muosha MbwaMbona wewe hujauwawa
Mimi siyo chawaTatizo lako wewe umetoka huko maporini Mbozi ukaja mjini ukafikia uswahilini na kazi yako ni uchawa. Wenzako sisi tunaishi nao hawa watu, tunawajua vizuri
Ni makuHabari yako, hv wewe ni she au he?
Walewaleee!!
waislamu hao unaweza kuwa mke wa pili jitongozeshe tuNdugu zangu Watanzania,
Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja.
Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania.
Unaweza kuona tabasamu ,cheko na nyuso za furaha kwa mashujaa wetu hawa hapa Nchini. Hapo ni Muunganiko wa manguli,majabali na majasusi wa kisiasa wamekutana kwa pamoja . Huku kijana kwa unyenyekevu mkubwa akitambulishwa .
Siasa raha sana ukiijua. Mungu akikupatia Kibali hakuna kitu kitashindikana hapa Duniani. ukitaka kuomba jambo lolote lile hapa Duniani kutoka kwa Mungu. basi wewe Omba tu Neema ya kupewa Kibali. Kwa hakika utakuwa umepata kila kitu utakacho hapa Duniani. Kuna watu leo hii pamoja na kuhangaika na kupigana kwa kila njia kupata uongozi fulani lakini wameshindwa kufanikiwa kwa sababu ya kukosa kibali.
Lakini kuna watu wao ni Neema tu Mwanzo mwisho wa Maisha yao. wengine mpaka wanaota Mvi kichwa kizima utafikiri wamemwagiwa unga wa sembe kichwani au wamedondokea kwenye ndoo ya unga lakini unakuta bado hawajawahi kupata nafasi yoyote ile ya uongozi iwe ya kuchaguliwa au kuteuliwa.
Ndugu zangu Watanzania Ombeni kwanza vibali na siyo madaraka au vyeo. Maana kama huna kibali hata ukipita au kupata kijinafasi fulani unashangaa utafikiri umepakwa mikosi usoni .maana unajikuta ni mtu wa kukumbana na misukosuko na mabalaa ya kila aina.
Vijana wa Nchi hii pia tuna ya kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete. Hususan juu ya unyenyekevu,utulivu na kujishusha. Embu fikiria pamoja na kuwa Baba yake ni mstaafu na yeye ni mtoto wa Rais mstaafu lakini husikia akiongea maneno ya shombo,dharau,kiburi ,kejeri au kumdhalilisha mtu. Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete siyo mtu wa kujikweza wala majivuno. Hana makuu wala makidai huyu mtu. Ni mtu wa watu,ni mtu wa kucheka na watu ,ni mtu wa kuzungumza na kila mtu bila ubaguzi.
Ni mwenye moyo wa upendo ,huruma na ukarimu wa hali ya juu sana. Ni msikivu kwa kila mtu. Na mwenye kumjali kila mtu. Kwake uongozi ni utumishi kwa watu na kwake cheo ni dhamana na ni mambo ya kupita tu.
Sasa angekuwa ndio mwingine amezaliwa kwenye Familia hiyo angetamani watu wambebe mgongoni huku akiwa anaongea akiwa kajibetua mdomo na kubana pua utafikiri ameshikwa na mafua. Angetaka kila mtu amuabudu na kumsujudia. Lakini huyu Mheshimiwa hana mambo hayo.
Sisi maskini na tuliokulia kwenye familia za maisha ya hapa na pale ya kuunga unga kwa gundi ndio tuna matatizo sana tukipata madaraka.tunakuwa makatili, roho mbaya kama magaidi ya Boko haramu ,wajivuni,wenye visasi ,chuki na kutaka kuabudiwa pamoja na kuleta maumivu kwa watu badala ya matumaini na nuru kwa watu. Inakuwa kama ule msemo usemao maskini akipata ....View attachment 3377090
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
hivi jibu la hili swali ni Shehe? au?Habari yako, hv wewe ni she au he?
Hapo sasa!Kwamba hamjui au?
Kwa jinsi alivyo nadhani ni s/he vinginevyo atakuwa neuter sex.Habari yako, hv wewe ni she au he?
Lina jinsia zote mbili kwa mpigo,linalandua na kulanduliwa hilo lijituHabari yako, hv wewe ni she au he?